Naaandika kwa uchungu hapa mbolea hazishikiki jaman mambo n Moto na serikal haitaki hata kutupa ruzuku
Najiuliza hi ndio ile nchi tuliokubaliana kuwa kilimo kiwe uti wa mgongo?
Nadhan serikal imejionesha ngoz yake halis kuwa MKULIMA N FALA NA BWEGE TU hana MCHANGO wowote kwa maoni Yao waonavyo wao
Sasa jaman pamoja na mbolea kupaa Bei tutalima hvyo hvyo kibishi na kwa uwezo wake Mola tutavuna maana lengo lenu tufe njaa kabisa
Wakati wa mavuno naomba waziri wa kilimo TUSIPANGIANE wapi na Nani wa kumuuzia tutauza kwa Bei zetu tuzitakazo
Kiukweli Hali n tete mama anakopa hela kwa ajil ya shule lakn anakata tozo hatujui inaenda wapi mmeshindwa kutumia hyo tozo mtupe ruzuku ya mbolea na pembejeo nyingne