Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,916
- 133,932
Nimemsikia mkuu wa dola Samia Suluhu Hassan, katika salamu za mwaka mpya 2026 amesema "Tumeondokewa na wapendwa wetu, tuendelee kuwaombea"
Katika kusema huko hakusema nani kawaondosha hao wapendwa? Lakini juzi kati tu hapa alisema wale walifuata mkumbo na aliwapa kubwa kulingana na walivyokuja. Sasa kivipi usikitishwe kuondokewa na watu ambao uliwapa kubwa mwenyewe?