Samia Chonde Chonde! Jifunze Kenya,Wachina Wanaelekea Kupoka Bandari

Hii ni kutokana na serikali ya Kenya kuelekea kuelemewa na mzigo wa ulipaji wa Deni hilo kwa wakati.
Na mojawapo ya dhamana iliyowekwa kwenye mkataba huo.Ni pamoja na Bandari ya Mombasa na shirika la Reli la Kenya.
Naona dunia yako inakwenda tofauti kabisa na hii dunia ya wengine?
 
Mtu kaenda tu huko vap huyoo,kapokelewa na mashada ya maua kalegea.
Mara Paap mikataba 15 mezani.
Sijui kaipitia sa ngapi na kuielewa.
Kapiga saini yote Paap.
Kapande ndege rudi kwenu.
Wachina washamaliza hapo miaka 99.
Ngoja tuone km hiyo bandari na SGR hawajaja kusimamia wao.
Kenya ile SGR wapo kila
Kituo wanasimamia mapato.
 
Na hili ndio litakuwa Janga kubwa kwa taifa hili kuliko yote.

CCM must go!
"CCM must go!"

Huku ukiwa umekalia kwenye kiti cha kuunguka ukipulizw na AC nzuri kabisa mkononi umeshikilia bilauri ya kisasa iliyojaa creamed coffee ukishushua na biskuti kavu
 
Shida sio chama. Shida ni maono, makuzi na uthubutu wa watu katika fikra na matendo. Ni vyema tukajifunza matumizi ya ubongo na akili tungali wadogo.
Tusipende kulaumu kwa kila kitu.
 
Back
Top Bottom