sisi tunaomba uchaguzi uwe wa amani we unataka watu wapigwe virungu?Kushinda atashinda na virungu utachezea vilevile
Kumbe niliona hili 🙏🙏🙏🙏🏆🏆Naomba niongee busara Moja
Naomba wajitahidi kuzuia kuweka asilimia zaidi ya 81% ya ushindi kwasababu zifuatazo, kwa maono yangu lakini
1. Itamfanya na itawafanya wanaompinga kuona kuwa hakushinda kwa zaidi ya asilimia 85% au zaidi, Hivyo jamii na Dunia kuona ushawishi wake umepungua na hivyo itamsaidia kupunguza ile chuki na maneno ovyo yanayotolewa na jamii yake na Dunia
2. Akishinda kwa asilimia hizo chini ya 81% itaionyesha jamii ya kidunia kuwa kumbe hata wengine walipigia kura vyama vingine tofauti na na chama chake hivyo inaonyesha Kuna demokrasia inayoendelea, tofauti na ikionekana kashinda 82% to 99.9%
3. Atapata ile inner peace ya Moyo, hivyo baada ya uchaguzi huo afanye mabadiliko makubwa ya kiutendaji na kurudisha ile heshima ambayo mitandaoni na baadhi ya sehemu wanajaribu kuishusha
Hayo ni mawazo tu' kwa ninachokiona.....
Ni watakie, nyakati njema na UCHAGUZI MWEMA
View attachment 3494919
Rais Daktari, profesa, al hajat, ustaadha, field marshal, generali, mtukufu, muadhamana nk nk nk Samia Suluhu Hassan asiposhinda urais kura ya wiki hii nitashangaa.
Kwanza, anagombea na chawa na si binadamu.
Pili, ni mtenda maajabu na miujiza kama kuweza kufuga na kuishi na machawa asikonde.
Tatu, timu yake ya uchafuzi, sorry, uchaguzi, ina kazi moja tu, kumtangaza tena akiwa ameshindishwa sorry ameshinda kwa kishindo.
Nne, anapondwa, sorry anapendwa sana kuliko hata Mungu mwenyewe.