GE2025 Samia asiposhinda kwa asilimia 99.99 nitashangaa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
10,986
Reaction score
13,482
1761621119685.png

Rais Daktari, profesa, al hajat, ustaadha, field marshal, generali, mtukufu, muadhamana nk nk nk Samia Suluhu Hassan asiposhinda urais kura ya wiki hii nitashangaa.

Kwanza, anagombea na chawa na si binadamu.

Pili, ni mtenda maajabu na miujiza kama kuweza kufuga na kuishi na machawa asikonde.

Tatu, timu yake ya uchafuzi, sorry, uchaguzi, ina kazi moja tu, kumtangaza tena akiwa ameshindishwa sorry ameshinda kwa kishindo.

Nne, anapondwa, sorry anapendwa sana kuliko hata Mungu mwenyewe.
 
Mkuu bado unaamini kuna uchaguzi…kweli kuna watu hamjui kusoma alama za nyakati…hicho kitu hakipo…hakuna uchaguzi…Mark my words…SAMIA HATOBOI
 
Sijui kama umesoma. Na kama umesoma, sijui kama umeelewa. Na kama umeelewa, sijui kama umeelewa vizuri. Na kama umeelewa vizuri, sijui kama unajua umeleewa vizuri!!!!!
 
Mkuu bado unaamini kuna uchaguzi…kweli kuna watu hamjui kusoma alama za nyakati…hicho kitu hakipo…hakuna uchaguzi…Mark my words…SAMIA HATOBOI
Mkuu bado uko ndotoni. Uchaguzi utafanyika tena kwa amani kabisa na next week gwaride linapogwa
 
Narudia .Sijui kama umesoma. Na kama umesoma, sijui kama umeelewa. Na kama umeelewa, sijui kama umeelewa vizuri. Na kama umeelewa vizuri, sijui kama unajua umeleewa vizuri!!!!!
 
Chaguzi za nchi za kiafrika zipo hivi kasoro nchi chache tuu

Kushinda atashinda na virungu utachezea vilevile
 
Kumbe ustaadh wa kike ni ustaadha.
Mbona sijawahi kuona sheikh wa kike au inam wa kike.
Kule zanzibar kuna cheo kinaitwa shekha, au ndio masheikh wa kike hao.
 
Naomba niongee busara Moja

Naomba wajitahidi kuzuia kuweka asilimia zaidi ya 81% ya ushindi kwasababu zifuatazo, kwa maono yangu lakini

1. Itamfanya na itawafanya wanaompinga kuona kuwa hakushinda kwa zaidi ya asilimia 85% au zaidi, Hivyo jamii na Dunia kuona ushawishi wake umepungua na hivyo itamsaidia kupunguza ile chuki na maneno ovyo yanayotolewa na jamii yake na Dunia

2. Akishinda kwa asilimia hizo chini ya 81% itaionyesha jamii ya kidunia kuwa kumbe hata wengine walipigia kura vyama vingine tofauti na na chama chake hivyo inaonyesha Kuna demokrasia inayoendelea, tofauti na ikionekana kashinda 82% to 99.9%

3. Atapata ile inner peace ya Moyo, hivyo baada ya uchaguzi huo afanye mabadiliko makubwa ya kiutendaji na kurudisha ile heshima ambayo mitandaoni na baadhi ya sehemu wanajaribu kuishusha

Hayo ni mawazo tu' kwa ninachokiona.....

Ni watakie, nyakati njema na UCHAGUZI MWEMA
 
Kwani ana heshima ipi iliyoshushwa? Muuaji cana heshima
 
Uchaguzi wa ovyo haijapata kutokea
Kupoteza ela tu sijui kampeni,kulikua hakuna haja ya vyote hivyo
 
Mh. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan, anaenda kuwa Rais wa kwanza mwanamke kushinda kwa kishindo. Na kupewa ridhaa ya kuongoza miaka mingine 5.
 
Tatu, timu yake ya uchafuzi, sorry, uchaguzi, ina kazi moja tu, kumtangaza tena akiwa ameshindishwa sorry ameshinda kwa kishindo.
Nne, anapondwa, sorry anapendwa sana kuliko hata Mungu mwenyewe.
Duuh angalia wasikuteke tu uwe unaandika hivyo hivyo usije ukatengeneza audio au video ukairusha utajikuta umetekwa na umekufa pasipo kutarajia
 
Back
Top Bottom