Ingawa wewe unamshangaa yeye na mimi ninakushangaa wewe kwenye uzi wa kuhusu Samatta kuonekana Germany umecomment nini sasa ?.., ingawa na mwingine atakuwa na haki ya kunishangaa mimi kuendeleza huu mnyororo wa habari ambazo hazimsaidii mleta uzi kupata information..
Huyu mwamba sijui huwa anakwama wapi aisee... Kipindi cha nyumba nilikuwa namfuatilia sana michango yake alikuwa na nondo sana, tangia alivyo kuja kum cc Mahando basi na akili zako zimechukuliwa na huyo demu...