Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,242
- 90,420
Yeah 6 kwa 2 now
Wamejitahidi
Yeah 6 kwa 2 now
Wamejitahidi
Ukiniuliza kwanini wazungu wana maendeleo kwenye kila wanachofanya nitakujibu simply wenye akili kama zako wako 0.01% wakati huku Tz mko kama wote.Ndio mnasema samata akacheze EPL?
kaitia gundu team yake imepigwa 7Kwa namna moja au nyingine najua kuna mamilioni ya watanzania walikua wakingoja mtanange wa Genk ndani ya UEFA CL kumuona champion boy Mbwana Samatta.. Kama miongoni mwa watanzania basi natumia fursa hii kumpongeza champion boy 255 kwa kuipeperusha bendara ya Tanzania vyema, napata faraja sana.. Goodluck samagoal a.k.a captain diego.. #HainaKufeli