kikoozi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2015
- 2,030
- 2,929
Ndio ni mwenyewe.
dodge
Nmeshakuambia achan n mim dada, hicho kuherehere chako pelek kw mumeo
Mzee wala hayo yasikuumize kichwa anaepamba hadi kufika hapo ni yeye mwenyewe kwahiyo sioni haja ya wewe mkulima wa alizeti huko nkasi uteseke, relax broo mwache apambane kivyakeSalaam! Sidhani Kama kuna mtanzania ambaye Hana Furaha kwa tukio la mchezaji wetu kujiunga na Aston Villa inayoshiriki ligi kuu ya uingereza! Kongole kwa Samata na watanzania wote kwani hii ni fursa nzuri kwa wachezaji wetu.Kwa kawaida EPL huwa na matumizi ya nguvu na kasi kupita maelezo rejea mechi ya Jana Kati ya Watford na tottenham, na kwa jinsi nnavyomtazama mchezaji wetu naona ana changamoto kubwa Sana kufit ktk ligi hii hasa kwa hizi timu ambazo zinapambana ili kubaki ligi kuu kwani huonekana zina matumizi makubwa ya nguvu na kasi.Maana nnavyoonaga Akina Laccazete wanavyochokaga uwanjani napata Shaka kidogo. All in all Tunamtakia mafanikio mema mchezaji wetu Mbwana
Sent using Jamii Forums mobile app
Shafi Dauda hana lolote, anajipendekeza tu, wakala wake ni mzungu
Hapana ni Salim Kikeke, mzee wakala wa samata unataka kumjua ili iweje?Habarini za muda huu,
Kichwa cha habari kinavyosomeka hapo, naombeni kujuzwa
Sent using komputa mpakato
Nadhani swali la mleta mada limesukumwa na hii picha--
Jafar kisongoBinafsi najua mawakala wanaotambulika na FIFA kutoka Tanzania ni Yusuf SSB na DAMAS NDUMBARO (alieMuwakala Haruna Moshi - Sweden)! Inawezekana na wengine wapo!
Sent using Jamii Forums mobile app