chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,981
ungempa hiyo €35,600 kisha ukampangia hayo masharti ''uchwara''Mwanaume unanunuaje gari nyekundu.. angenunua nyeusi au nyeupe kama hiyo.. sio mbaya lakini
Mwanaume unanunuaje gari nyekundu.. angenunua nyeusi au nyeupe kama hiyo.. sio mbaya lakini
poa mkuuungempa hiyo €35,600 kisha ukampangia hayo masharti ''uchwara''
neno langu sio sheria, yalikuwa ni mawazo yangu tu.. hata mwisho nimeandika sio mbaya.. peaceNani alikwambia mwanaume haruhusiwi kuendesha gari nyekundu? Kwa taratibu za wapi kuanzia lini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daah!nilinunaaaa!Ila nimecheka!ungempa hiyo €35,600 kisha ukampangia hayo masharti ''uchwara''
spacial kwa chick hiyo likiwa kwenye parking sehemu yoyote ndio la kwanza kuonekana...pia special kwa kuikumbuka timu yake iliyomfikisha hapoMwanaume unanunuaje gari nyekundu.. angenunua nyeusi au nyeupe kama hiyo.. sio mbaya lakini
pengine, hata wewe neno lako sio sheria piaspacial kwa chick hiyo likiwa kwenye parking sehemu yoyote ndio la kwanza kuonekana...pia special kwa kuikumbuka timu yake iliyomfikisha hapo