Samatta anakubalika kwenye timu yake

Samatta anakubalika kwenye timu yake

Cathelin

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
2,071
Reaction score
3,997
Samagoal
tapatalk_1540881922364.jpeg
 
Mzungu ndio binadamu mwenye shukrani na fadhila kuliko kiumbe yeyote chini ya jua. Hawatasahau Kazi samata aliyowafanyia milele.

Ila bongo ikitokea umekosa hata penalty watakuponda na makopo ya mkojo hadi uchanganyikiwe licha ya kuwa unaongoza ufungaji bora wa ligi. Bongo nyoso.
 
Mzungu ndio binadamu mwenye shukrani na fadhila kuliko kiumbe yeyote chini ya jua. Hawatasahau Kazi samata aliyowafanyia.

Kweli kabisa
 
Tatizo tuna wivu wa kijinga, we nenda kwenye jukwaa la sports wazushi tayari wameshaweka thread ya kumponda kama kawaida yao
 
Mzungu ndio binadamu mwenye shukrani na fadhila kuliko kiumbe yeyote chini ya jua. Hawatasahau Kazi samata aliyowafanyia.

Ila bongo ikitokea umekosa hata penalty watakuponda na makopo ya mkojo hadi uchanganyikiwe licha ya kuwa unaongoza ufungaji bora wa ligi. Bongo nyoso.

Ni fikra za kitumwa tu, kuona kila cha mzungu ni bora zaidi, Samatta na Timu ya Taifa wanapendwa sana hata Tanzania.
samatta1.jpg
tz2.jpg
 
Naota ananyanyua kiatu cha ufungaji bora msimu huu!!!
 
Samatta is one of my favorite superstars in Tanzania, it's not scandal but what he does on and off the pitch that cling him at the top!
Sio akina domo scandal mingi kuliko kazi
 
Back
Top Bottom