SAMATHA aiweka pazuri MAZEMBE...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Mshambuliaji wa kitanzania anayecheza kwenye klabu ya TP Mazembe,Mbwana Samatha aliiweka timu yake ya Mazembe katika nafasi nzuri ya kutinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Mabingwa barani Afrika kwa kuipachikia bao la ugenini. Samatha,aliyeingia dakika ya 65 katika mechi hiyo baina ya Al Alhli na Mazembe iliyochezwa nchini Misri,alifunga bao hilo kwa kichwa akimalizia krosi safi ya Kasusula. Mazembe,hatahivyo,ililala kwa mabao 2-1. Mechi ya marudio itapigwa juma lijalo nchini DRC-Kongo.
 
Hii ni hatua ya ligi ya mabigwa katika makundi manne, sio mtoano ambao washindi wawili kila kundi wanaenda nusu fainali, Mazembe (DRC) ipo kundi moja na Zamaleki (Misri), Aly Ahly (Misri) na Chelsea (Ghana), mechi za awali;

Aly Ahly (Misri) 2-1 Mazembe
Chelsea (Ghana) 3-2 Zamaleki (Misri)

Next Match wiki ijayo ni Mazembe at home vs Chelsea pale Stade du Kenya, Lubumbashi and Zamaleki vs Ahly

Pia hakuanza mechi ya Cairo kwa kuwa alikuwa anasumbuliwa na maumivu ya tumbo akaingia dakika ya 75 na kupiga bonge la bao lakufutia machozi.

"SAMATTA SICK. - No more than you understand why we did Luka LUNGU starting up the game while Aly SAMATA remained on the bench. The answer is simple: the attacker Tanzania suffered from stomach pains for several days and felt very weak. The morning of the match, he felt able to play up to 20 minutes and the coach Lamine has logically taken into account. LUNGU had shown some effectiveness in the league, but Sunday he realized he still has work to do to reach the highest level."

Kwa sasa Samata anaongoza kwa upachikaji mabao msimu huu akiwa na mabao 13 akifuatiwa na mshambuliaji mwenzie Lungu mwenye mabao 12

Juzi alicheza mechi ya ligi dhidi ya Muungano na kufunga mabao 2 ambapo TPM walishinda 5-0 huyo ndio Mbwana Ali Samatta aka Samagoal kama anavyojulikana na washabiki wa vigogo hao wa Lubumbashi

Kwa sasa Samata anaongoza kwa upachikaji mabao msimu huu akiwa na mabao 13 akifuatiwa na mshambuliaji mwenzie Lungu mwenye mabao 12

By El Toro - mdau wa zamani wa pale Lubumbashi, Congo DR.
 
no research done no right to write. Ni makundi na siyo mtoano so hakuna faida ya goli la ugenini
 
Tanzania bana mnyama ndio nini si bor usema Yanga Imara
kwani hujui? Mnyama ni Simba SC yaani Wekundu wa Msimbazi, bingwa Mara sita kagame cup! Yaani mara moja zaidi ya AFC Leopards ya kenya, hii ina maana hata kama mkishinda mara hii itakuwa ni ya nne kwenu!
 
Back
Top Bottom