Mwiba1
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 1,207
- 2,543
Huyo tuna pamoja na salmon wanatumika kutengeneza sushi ndio maana bei imechangamkaKuna kipindi net geo kama sikosei kinaitwa catching Tuna aisee huyo samaki sokoni anabei kubwa sana

Samaki wa Magufuli.Safi,
2) Kuna yule anaitwa TUNA kwa lugha ya wenzetu ndiyo yupi?
Ahsante