Samaki wabichi kutoka Mwanza

Samaki wabichi kutoka Mwanza

babilas25

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
483
Reaction score
359
Heshima kwenu wana JF,
Kwa heshima kubwa tunawakaribisha na kuwaarika wadau wa samaki kua tunapokea order na kutuma samaki wabichi waliogandishwa kutoka Mwanza aina ya Sato na sangara.

Bei zetu; Sato 8000/kg
; Sangara 4800/kg
Tunatuma mikoa yote kwa ratiba ifuatayo
Dodoma, Morogoro na Dar siku za j,nne, alhamisi na jmosi
Dodoma, Iringa na Mbeya siku za Ijumaa
Dodoma, Manyara na Arusha siku ya Jpli
Shinyanga na Kahama kila siku
Tunawakarisha wenye mabucha ya samaki kuweka order zao mapema usarama wa mzigo wako ni uhakika weka order kuanzia kilo 100 na kuendelea
Wasiliana nasi kwa namba 0764 123459 au 0783686643 email babilasfikiri@gmail.com

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samaki Sahv hhawasafirishwi nje
Nyie bado mnakoma na bei kubwa
Mbona nyie wabongo wagumu kushusha bei
Kuendana na Hali iliyokuwepo?????? +

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heshima kwenu wana JF,
Kwa heshima kubwa tunawakaribisha na kuwaarika wadau wa samaki kua tunapokea order na kutuma samaki wabichi waliogandishwa kutoka Mwanza aina ya Sato na sangara.

Bei zetu; Sato 8000/kg
; Sangara 4800/kg
Tunatuma mikoa yote kwa ratiba ifuatayo
Dodoma, Morogoro na Dar siku za j,nne, alhamisi na jmosi
Dodoma, Iringa na Mbeya siku za Ijumaa
Dodoma, Manyara na Arusha siku ya Jpli
Shinyanga na Kahama kila siku
Tunawakarisha wenye mabucha ya samaki kuweka order zao mapema usarama wa mzigo wako ni uhakika weka order kuanzia kilo 100 na kuendelea
Wasiliana nasi kwa namba 0764 123459 au 0783686643 email babilasfikiri@gmail.com

Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka sie walaji tuje tuuziwe samaki sato kilo moja kwa bei ya Kitimoto mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom