Will i.a.m
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 347
- 49
samaki wa mapambo wanauzwa ofisi ipo banana ukonga pembeni ya jengo jipya la aviation house
kuna aina kama
red
gap
gold
pure red
black more
white gap
sefin more
red sota
na wengine wengi kwa maelezo zaidi piga 0713969650 bei ni nafuu mnoo
Kamanda asante kwa taarifa. Tuwekee dondoo za bei itafaa sana. Napenda aina fulani ya samaki wanaitwa kissers, kitaalamu wanajulikana kama Kissing gouramis, (Helostoma temminckii). Nihabarishe kama nao unao pia
ni cheki hapo nkwenye namba tufanye biashara nafuga hawa samaki toka 85 nina uzoefu wa aina nyingi lazima wapatikane
Siku bajeti ikienda mrama wanafaa kwa mboga mkuu??!
Nimeinukuu namba yako tutaongea na week end nitakuja ulipoelekeza.
samaki wa mapambo wanauzwa........
Kamanda asante kwa taarifa. Tuwekee dondoo za bei itafaa sana. Napenda aina fulani ya samaki wanaitwa kissers, kitaalamu wanajulikana kama Kissing gouramis, (Helostoma temminckii). Nihabarishe kama nao unao pia
Wapare changamkieni hao samaki!!!!!!!!!
nicheki 0712505049 ni bei nafuu mno
Hii biashara ni deal kubwa ulaya! Sema wanatakiwa wafike wakiwa wazima!
Bei nafuu ndio shilingi ngapi?
Weka wazi bei mkuu!