Samaki wa mapambo bei nafuu

Samaki wa mapambo bei nafuu

Joined
Jun 27, 2014
Posts
39
Reaction score
11
kuanzia elfu tano
elfu kumi
elfu15
na 30
nafika popote ulipo bila shaka
mali mpya with garaantee
Kwa picha zaidi whats app number 0712505049
 
Set up nzima ni sh ngapi ? i mean kile ki container na kila kitu ? wanakula nn hao samaki ? wa rangi rangi naweza kuwapata ?
 
ndogo kabisa inakost kumi na tano ikiwa tupu ikiwa na pampu kwa ajili ya kupush hewa na mapambo kama maua na mawe yake special ni 20elfu so una plus na kumi na tano jumla 45 samaki wapo aina zote chakula ni elfu 3000 kile kifuko cha icecream ambacho kinakaa mwezi na siku kadhaa si ukichukua viwili ni zaidi ya miezi mitatu kuwapata ni wewe tu sema upo wapi nikuletee mzigo hapo hapo ulipo
 
Set up nzima ni sh ngapi ? i mean kile ki container na kila kitu ? wanakula nn hao samaki ? wa rangi rangi naweza kuwapata ?

inategemea unataka size gani na urembo gan
 
Back
Top Bottom