Samaki wa kukaanga (sato)kutoka Mwanza

Samaki wa kukaanga (sato)kutoka Mwanza

Riben

Member
Joined
Nov 27, 2014
Posts
58
Reaction score
10
Wamekaangwa wakiwa fresh bila kuwekwa kwenye mabarafu hivyo wana ladha asilia. Karibu kwa oda na utapokea baada ya siku mbili. Tunatuma mikoa yote bei yake kwa samaki wawili wakubwa ni 15000.
Mawasiliano kwa simu, meseji au WhatsApp ni 0659251217.
PhotoGrid_1507197665824.jpg
 
Mzee upo wapi ..? Na vip malipo yanafanyika baada ya mzigo kufika au vip
 
Samaki wawili shilingi 15 elfu .
Wana ukubwa gani, uzito gani?
Ni wa uzito wa kg 1 wakiwa wabichi. Dar samaki sato kilo 10000. Hawa wanakua wamekaangwa tena fresh kabisa kutoka ziwani na usafiri juu yangu. Karibu
 
Mzee upo wapi ..? Na vip malipo yanafanyika baada ya mzigo kufika au vip
Tupo Musoma,Mwanza na Dar. Malipo unafanya baada ya kupokea mzigo kutegemeana na uhakika wa oda yako. Karibu sana
 
Back
Top Bottom