Samaki wa kiajabu - Subhanallah | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Samaki wa kiajabu - Subhanallah

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Dec 11, 2009.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Dec 11, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,614
  Likes Received: 4,603
  Trophy Points: 280
  Samaki wa kiajabu - Subhanallah

  NAULIZA SWALI JE WEWE UKIMVUWA UTAWEZA KUMLA?
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  سبحان الله وبحمد
  سبحان الله العضيم
   

  Attached Files:

 2. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #2
  Dec 11, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,365
  Likes Received: 7,000
  Trophy Points: 280
  huyo atakuwa sio wa kweli bali ni wa kutengeneza tu kwa sababu, ukiangalia hayo meno yake na hiyo size ya mdomo alipaswa kuwa na tumbo kubwa la kuweza kuifadhi chakula ambacho anakula, haiwezekani kuwa na kinywa na meno kama hayo alafu hana tumbo kabisa.
   
 3. K

  Kijamani Senior Member

  #3
  Dec 11, 2009
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wewe ungetuambia kwanza ungemla ndo uulizie wengine mkuu.
   
Loading...