Mmh, nadhani ni rahisi sana kusema kwamba utafunga mabag na kuondoka. Ingakuwa ulaya na America, ningekuelewa kirahisi sana. Ndoa nyingi sana hazina furaha na bado watu wamekaa pamoja. Kama tutafanya sensa ya ndoa zenye furaha hapa JF, na watu wakakubali kusema ukweli wao, we will be shocked.
Sometime kwenye ndoa, watu wanaishi pamoja kwa mambo mengi zaidi ya kupeana raha.
Dark City:
Nimekupata, na nina amini kama kuna watu wamejisahau kidogo, basi watarudi kwenye mstari!
Hiyo dossier ya the Boss ni ipi hiyo? Tukumbushe tafadhari
[/B][/I][/COLOR]
Yaani, I wish wanaume wenye tabia kama hii wangesikia na kutekeleza haya. Kwa kiasi kikubwa, migogoro ya ndoa ingepungua sana.
Ndio maana kuna baadhi ya watu watu walikuwa wanadai kwamba WANAUME HAWAPEWI DARASA HASA WAJIBU WAO KWENYE NDOA KABLA YA KUOA.... JAMII INA ASSUME KWAMBA WANAJUA KILA KITU...
Kweli kabisa,
Raha kwenye ndoa nyingi ni ANASA ambayo ni watu wachache wanaweza kupata access ya kuwa nayo!!
Ni rahisi kufunga ndoa ya zaidi ya 200mil Tsh kuliko kuwa na ndoa ambayo mnakula kauzu na kufurahia uwepo wa kila mtu na nafasi yake kwenye ndoa!!
mnataka kulipa uzito swala la unyumba kuliko mengine kwanini? Eti chakula ata nyumbani kilikuepo..ni ngumu kuendelea na mwendo uleule kutoka kwenye uchumba hadi ndoa tena ndoa ya miaka 5 au wanaolalamika ni wale wa ndoa changa?
Kweli kabisa,
Raha kwenye ndoa nyingi ni ANASA ambayo ni watu wachache wanaweza kupata access ya kuwa nayo!!
Ni rahisi kufunga ndoa ya zaidi ya 200mil Tsh kuliko kuwa na ndoa ambayo mnakula kauzu na kufurahia uwepo wa kila mtu na nafasi yake kwenye ndoa!!
Sometime mfumo dume unatuathiri sana
Tunajifanya kila kitu tunajua na matokeo yake ni kuwa hatujui kitu
Tunajiaminisha kuwa kwa kuwa sisi ndo waoaji ndio wenye last say katika kila kitu
Hata swala la unyumba ni pale tunapotaka na kama kuna hawara huko nje tena ndo kabisa mke atakuwa anapewa unyumba chini ya masharti magumu au pale mimi mwanaume ninapojisikia kufanya hivyo
Na mke hana amri wala uhalali wa kudai haki yake hiyo
Lililo kubwa ambalo mwanamke amekuja kufuata ndani ya nyumba sio hayo tunayodhani ni zaidi ya hapo na wanaume tunatakiwa kujua hilo
Unajua DC sio kwamba hawajui wanajua sana ila sema kila mtu anataka kujifanya mjuaji kuliko mwenzake ndio maana unaona watu wanatoa sababu lukuki sijui mwanaume vile/mwanamke vileUmejuaje TF?
mnataka kulipa uzito swala la unyumba kuliko mengine kwanini? Eti chakula ata nyumbani kilikuepo..ni ngumu kuendelea na mwendo uleule kutoka kwenye uchumba hadi ndoa tena ndoa ya miaka 5 au wanaolalamika ni wale wa ndoa changa?
:ranger:
Hii ni kweli kabisa. Hebu jiulize, ni institution gani hapa Tanzania ambayo inamfundisha mwanaume jinsi ya kuishi na mwanamke? hardly, your father. mengi ni mazoea ya kuona jinsi wazazi wetu walivyokuwa wanaishi, jamaa zetu na hadithi za vijiweni.
At the end of the day, wanaume wengi sana kwenye ndoa wanakuwa failers.
Ukishaanza kuwa na mawazo kama haya huchelewi kumuona mkeo au mumeo ni mzee ukaenda kutafuta nyumba ndogo
Hakuna ndoa kuzeeka kila siku wapaswa kumuona mumeo au mkeo ni mpya
Unapoanza kufikiria kwa kuwa nimemuoa zamani kwa hiyo haki zake zile alizokuwa anapata enzi za uchumba kwa sasa hawezi tena kuzipata hapo unakaribisha hawara ndani ya ndoa yako
Najua sio rahisi kufungasha mabegi na kuondoka bali je ikifika mahali huyo mume hana upendo nami tena na nimejitahidi kuweka mambo swa kwa msaada wa ndugu jamaa wote na stil akasimamia msimamo wake kuwa mapenzi yameisha na hanihitaji tena hapo bado patakuwa na ndoa?Mmh, nadhani ni rahisi sana kusema kwamba utafunga mabag na kuondoka. Ingakuwa ulaya na America, ningekuelewa kirahisi sana. Ndoa nyingi sana hazina furaha na bado watu wamekaa pamoja. Kama tutafanya sensa ya ndoa zenye furaha hapa JF, na watu wakakubali kusema ukweli wao, we will be shocked.
Sometime kwenye ndoa, watu wanaishi pamoja kwa mambo mengi zaidi ya kupeana raha.
Sasa wanaoana ya kazi gani kama tendo la ndoa sio sehemu ya hiyo ndoa?
Ukiweza kufanya yale ambayo mwanamke anapaswa kufanyiwa na mwanaume hutaona ndoa yako imekuwa ndoano
Ila inapotokea pale tunaposhindwa kutimiza hayo ndo mambo ya hawara yanaingia hapo
Sasa wanaoana ya kazi gani kama tendo la ndoa sio sehemu ya hiyo ndoa?
Najua sio rahisi kufungasha mabegi na kuondoka bali je ikifika mahali huyo mume hana upendo nami tena na nimejitahidi kuweka mambo swa kwa msaada wa ndugu jamaa wote na stil akasimamia msimamo wake kuwa mapenzi yameisha na hanihitaji tena hapo bado patakuwa na ndoa?
Binafsi ikifika hapo hata ingekuwa niko sayari nyingine nitafanya liwezekanalo nirudi kwetu,
Ila km mme wangu atakuwa ananipenda lkn akawa na mambo ya vimada sijui hanitimizii haki yang hayo hayata nitoa kamwe kwani yako ndani ya uwezo kwa kuyavumilia nikiwa nayatafutia tiba ya uhakika na ndoa yangu kuwa shwari.
Ila huko nje (nyumba ndogo) ghafla maana inabadilika?Wengine wanaoa kwa ajili ya kupata watoto kama PRINCE CHARLES alipomwoa Pricess Diana. Wako wengi tu wa aina hii, sex ni watoto, na sio pleasure.