Samaki chui

Huyo Anaitwa Kamongo. Tofauti uliopo katiyake na Chatu ni kuwa yeye hana ulimi na ana vimikia tumboni. Anauwezo wa kuishi aridhini bila maji hata zaidi ya mwaka ilimradi apate unyevunyevu. Kwa Kisukuma Anaitwa {Mamba, au ndeki}
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…