Ni tukio la ajabu limetokea kando kando ya ziwa Victoria baada ya binti kuchuchumaa ateke maji amwagilie vitunguu na nyanya samaki wa nchi 4 akaruka toka kwenye maji na kuingia sehemu za siri za binti wa miaka 14 alivyo jaribu kumvuta akawa anasikia maumivu makali sana.
Chanzo: Masau Bwire wa Wapo FM.
Ni tukio la ajabu limetokea kando kando ya ziwa Victoria baada ya binti kuchuchumaa ateke maji amwagilie vitunguu na nyanya samaki wa nchi 4 aina ya sato akaruka toka kwenye maji na kuingia sehemu za siri za binti wa miaka 14 alivyo jaribu kumvuta akawa anasikia maumivu makali sana.

Kudadadeki, samaki anaingilia utamu wetu. Pumbaf zake sana samaki, unaweza kuta ndo katukatia ule utepe wetu pendwa.
Sasa hako kabinti hakakuvaa chupi au ndo vile vichupi vya kamba?

Hii wajameni bado haijatulia!, kwanza sato sio mkizi, hivyo haruki inje ya maji!. Samaki mwenye kuruka ni mkizi, na ndipo ukaja ule usemi wa hasira za mkizi furaha ya mvuvi kwa sababu akikasirika huruka nje ya maji kwa hasira na wakati mwingine hudondokea kwenye mtumbwi!. Hili la sato nalo neno!
Pasco
Kudadadeki, samaki anaingilia utamu wetu. Pumbaf zake sana samaki, unaweza kuta ndo katukatia ule utepe wetu pendwa.
Sasa hako kabinti hakakuvaa chupi au ndo vile vichupi vya kamba?
Jee hao piranha wapo Ziwa Victoria?, au ndio mkizi hawa!, ngoja niwa google!.Hamna cha ushirikina hapa hao samaki wanaitwa piranha niliona kwenye channel ya Nat Geo Wild kipindi cha Bite Me cha Dr.Mike Leahy mara nyingi hawa samaki wana tabia ya kuingia sehemu za siri mtu anapokua anakojoa au anaogelea ndan ya ziwa