Samaki ana mengi ya kusema ila mdomoni ana maji.

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
62,197
128,128
e66cc27e7bb6985a300373440874a11a.jpg

Ili samaki aweze kusema inabidi atoke kwenye dimbwi la maji.
 
Uwaziri mtamu jamani wenzie mbona walienguliwa hawakuwa na vimuhemuhe kama huyu anatangatanga tu si afunguke tu
 
Uwaziri mtamu jamani wenzie mbona walienguliwa hawakuwa na vimuhemuhe kama huyu anatangatanga tu si afunguke tu
Anayezungumziwa kwenye thread siyo huyo mkuu!
Ni huyo mwingine aliyeyatengeneza maji ya bahari yalokuwa yamechafuka wakaingia samaki wakubwa kisha hao wakubwa hawataki samaki mdogo azungumze
 
Mmh!!!hawa samaki wa kijani wana roho za paka lakini cha ajabu(sijui ni yale maji ya bendera)wanakubali kubaki nayo hadi yanaua nyoyo zao na kuja kukaba koo zao na kufa nayo mioyoni.
Wanakufa na chama chao.
exhausted from www..joeygates.deviantart.com.jpg
 
huyu alichanganyikiwa mpaka akaenda kukanyaga akina mama makalio - what a shame
 
Samahani mtoa mada, Kasie siku zote ana matani sana. Baada ya kusoma huu uzi nimekumbuka wimbo mmoja unaimbwa hivi....

" ...Ntakupa Samaki ukinikubali, ntakupa samaki eeh
Ntakupa Samaki ukinikubali, ntakupa samaki eeh
Ooh samaki ooh samaki ntakupa samakiii eeh
Ooh samaki ooh samaki ntakupa samaki eeeh.."

Naomba baada ya kuimba hivo mada iendelee, dakika za matani na masikhara zimeisha.

Daudi nimeelewa ujumbe ulioumaanisha niwie radhi kama ntakuwa nimekukwaza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom