BabaDesi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2007
- 6,228
- 4,200
Kwanza nitangulia kuomba samahani kwa sababu nina hakika jibu la msaada ninaotaka kuomba hapa lipo tayari mahali ndani humu. Bahati mbaya ni kuwa ka-bundle kangu hakaniruhusu kupekua sana hivyo muhisamahe.
Kuna nyimba kadhaa za zamani ambazo zimetungikwa video zake kwenye Youtube na sehemu nyingine kadhaa. Ningependa mno kuzishusha nyimbo hizi kutoka huko Youtube na kwengineko na kuzihifadhi kwenye Dtop yangu ili niokoe vi-bundle vyangu kila pale ninapotaka kuzisikiliza.
Nafanyaje?
Naomba msaada Waungwana na Shukurani Zimetangulia...!