Samahani wakaka mtakaoudhika na hisia hizi

Daaaah! Haya bana! Dhambi zingine zinaepukika ila mnazikumbatia kwa makusudi.

Mi naendelea kubisha kuwa tiGo ni dhambi ni mtu gani kawaongopea?

tiGo inahusika sana pindi pale mnapo taka kubadilisha radha

Kumbuka na uzuri wa tiGo ni lile shombo lake dahhh
 
Mi naendelea kubisha kuwa tiGo ni dhambi ni mtu gani kawaongopea?

tiGo inahusika sana pindi pale mnapo taka kubadilisha radha

Kumbuka na uzuri wa tiGo ni lile shombo lake dahhh
Fideliiiiiiii! Mama yangu. Sikuwezi. Are you serious??? Katubu upesi ndugu yangu. Mimi binafsi ntafanya maombi special kwaajil yako!!
 
merytina ikoweza weza nipm . mi iko tafuta mitu kama wee, iko fanya haraka tafuta mimi iko kaa dar,sawa?
 
Hi,
Home Arusha, Geneva of Africa,mngoni baba,mama mchaga

mpenzi kwanza nilachana naye miaka minne iliyopita-mhaya mlevi pia utoto ulitusumbua
wa pili (Mmasai)nikampata baada ya mwaka mmoja na from the bottom of my heart nampenda sana.Nipo naye na nataman ndoa naye, nilimchuga kwa uangalifu mkubwa

Kimbembe: ninaham ile mbaya na mzungu only once in my life (naapa naahidi sitoplay na mhindi,mwarabu,mchina,mjapani)

Sikuwahi kuwaza kumsaliti Mmasai ila 'mara mmoja tu' sioni kama itadhuru

(sorry kwa wote watakaoudhika na post hii la hisia zinanizidia)

Hivi yule mchaga mwenye pesa si ulikuwa naye papendikula na huyu mmasai? Mbona hayumo kwenye list? https://www.jamiiforums.com/mahusia...4496-wadada-tu-wakaka-hamuhusiki-hapa-25.html . Kama unaona Rev Fr Masanilo hafai kuna rafiki yangu Mjerumani anakuja kutembea Tanzania mwezi wa saba kwa nia kama yako, ni-PM nikuunganishie.
 
Nani kakudanganya kuwa eti ukijiexpress ni dhambi?

Hao wanao sema ni dhambi ndo watumiaji wazuri kule raha bana kitu mnato.

Unakuwa na KY yako mfukoni dah kitu shaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Mi naendelea kubisha kuwa tiGo ni dhambi ni mtu gani kawaongopea?

tiGo inahusika sana pindi pale mnapo taka kubadilisha radha

Kumbuka na uzuri wa tiGo ni lile shombo lake dahhh
Mimi nilikuwa nashangaa kwanini mabinti huwa wanamgombania Fidel baada ya kujua ni kwasababu gani wala sikuendelea kushangaa nikawa naona kawaida tu.
 
Dogo utamaliza mabucha nyama ni ile hile,"chunga sana ulichonacho muovu asikunyang'anye" "mwili wako ni hekalu la roho mtakatifu"
Unajiskia raha sana kuvua vua nguo eeeeh?uoni aibu?uonei kinyaa kila mti ukuchome jichoni?mwisho wa siku si utapofoka?na mwenzio akiwa na akili maji kama yako akasema akaonje pembeni mwisho wake ni nn?ukimwi robo + robo = nusu
Umeniudhi sina kawaida ya kutumia maneno mabaya au jazba.
SAMAHANI KAMA NIMEKUKWAZA.
Relax..........that is kicheche in action.........Akitoka hapo atataka kujaribu mkongoman, msauzi and the list goooooooooz on
 
Hi,
Home Arusha, Geneva of Africa,mngoni baba,mama mchaga

mpenzi kwanza nilachana naye miaka minne iliyopita-mhaya mlevi pia utoto ulitusumbua
wa pili (Mmasai)nikampata baada ya mwaka mmoja na from the bottom of my heart nampenda sana.Nipo naye na nataman ndoa naye, nilimchuga kwa uangalifu mkubwa

Kimbembe: ninaham ile mbaya na mzungu only once in my life (naapa naahidi sitoplay na mhindi,mwarabu,mchina,mjapani)

Sikuwahi kuwaza kumsaliti Mmasai ila 'mara mmoja tu' sioni kama itadhuru

(sorry kwa wote watakaoudhika na post hii la hisia zinanizidia)

hilo neno lenye red,naomba umuulizie ex boy wako lina maana gani!Maana wengine wataogopa hata kulitamka.

Juu ya kmtaka mzungu....we km si mwaminifu,nenda tu pale VIA VIA CLUB,siku ya alhamisi,we jilegeze tu,ndani ya masaa matatu,lazima utatongozwa na mzungu!km uko tiyari utapata dozi mapema tu! lakini,nasema hivi ukishakosa uaminifu tu,ukaenda na mzungu,hata mbongo utatoka naye!
 
Mi naendelea kubisha kuwa tiGo ni dhambi ni mtu gani kawaongopea?

tiGo inahusika sana pindi pale mnapo taka kubadilisha radha

Kumbuka na uzuri wa tiGo ni lile shombo lake dahhh

Umerogwa wewe kwenda zako unataka kunipandisha mori sasa hivi muone kwanza. Ole wako unijibu
 
Pole sana! Watu kama nyie ndio mnasababisha SH (Small House) Unatakiwa ufungwe jiwe shingoni, kisha utumbukizwe kunako bahari. Aaaaarrrrrrgggghhhhhh
 
go ahead, all the best....:bange:,last time ulitaka ushauri wa mmasai na mchagga,leo mmasai na mzungu....baadaye utakuja mmasai na msonjo
 
Back
Top Bottom