mdogo wako ka kata kona ana kwenda wapi?
ah mambo gani sasa haya bana!Basi nitaanza ku ignore akinitaja..
msije wanafunzi kufikiri na mimi nataka twishen bure lol
Chezea Mabinti wa kingoni weye, utajifunza hata Kama kingoni cha kisukuma, lol!
kaka Nicas Mtei karibu sana kwetu
ewaaaaaah!Hongera Mzee Tupa tupa kwa kukiri kosa, naomba tutimize mila yetu ile ya upatanishi
Mimi na FP tutapememnda maji na kuteta mahoka, ofkoz najua walikasirika si unajua Snowhite ni dada yetu. Kisha tutaenda mtoni, mto Likuyu, tutaomba watani angalau wawili, watu8 na Platozoom, utapaswa kununua kuku mmoja, wewe na snowhite mtaingia ndani ya mto, mtaangalia yanakotokea maji kisha utamkabidhi dada Snowhite huyo kuku, watani watapiga vigele gele, mimi nitaking'inda, FP atamwaga unga wa mhogo angani!
Tutakuwa na amani tena tele, huyo ibilisi aliyekupitia hata kusogelea tena!!
nikosiwi lepi!umjambusi na mwenyew wifi ,avi koki penyee hapa mi na dada FP na mdogo wetu Kipipi na Chimunguru pamoja na moto2012 tuna hamu ya likolo na nyungu kweli wengo! basi chilau ayatelekise wengo!
ah mambo gani sasa haya bana!
i owe yu one yu know!
aidha saluni au ibadani!
ahahahhahahhahhhhhhahahha,lol!
tena ibada zenyewe za delivarance mchezo!dah!Tukienda saloo na ibada
uta resign kufundisha..
ibada za kukesha si mchezo..lol
tena ibada zenyewe za delivarance mchezo!dah!
na kukusanya sadaka baada ya ibada
ualimu wito wapi na wapi lol