holy holm
JF-Expert Member
- May 6, 2017
- 4,792
- 9,079
Just imagine uko njiani unatembea kwa miguu ukiwa kwenye mishe zako.Ghafla unaskia umepigwa kofi zito mpk unafumba macho hujakaa sawa ngumi ya pua mpk damu inatoka ile unataka kukimbia unapigwa mtama unapaa usawa wa kimo cha mbuzi...alafu unasikia sauti ikisema .."Nilijua tu ntakukamata"..ile kugeuka una kutana na sura ngeni machoni pako,,na yeye baada ya kukwangalia kwa makini anakwambia "SAMAHANI NIMEKUFANANISHA"
Unge chukua hatua gani
tuwe siriaz kidogo
Unge chukua hatua gani
tuwe siriaz kidogo