mengi sanaMpaka shule zifunguliwe tutashuhudia mengi humu jf
Nina umri wa miaka 20 na kwa sasa nahitaji kuwa na mpenzi ambaye ni lazima aje kunioa
SIFA
1.awe anajitambua yeye ni nani na anatakiwa afanye nini.
Hivyo kama wewe ni mwana jf mwenzangu rafiki yangu ktk pm naomba unipeushauri juu ya hili suala langu
nimeona nitafute mpenzi mapema ili niweze kupata familia yangu
#love_iz_must_if_u_have_feeling
nipo ualimu mwaka wa pili naingia hapa naomba ushauri tu,na siwezi kumpata mtu wa humuDada mbn umri wako bado mdogo kwanin usiende shule hili baadae uje kupata kazi nzuri na wanaume watakutafuta wenyewe kuliko kutafuta humu jukwaani
tangu nijitambue sijawahiUmeshawahi kufanya mapenzi?
Nina umri wa miaka 20
yes,after two yrsunatafta mpenzi ambae baadae ni LAZIMA aje kukuoa?
Nina umri wa miaka 20 na kwa sasa nahitaji kuwa na mpenzi ambaye ni lazima aje kunioa
SIFA
1.awe anajitambua yeye ni nani na anatakiwa afanye nini.
Hivyo kama wewe ni mwana jf mwenzangu rafiki yangu ktk pm naomba unipeushauri juu ya hili suala langu
nimeona nitafute mpenzi mapema ili niweze kupata familia yangu
#love_iz_must_if_u_have_feeling
huwa siweki details zangu kamili mitandaoniJe huu umri wa miaka 20 umeufikia lini wakati kwa profile yako inaonesha umezaliwa Mei 19, 1995....?
tangu nijitambue sijawahi
Je huu umri wa miaka 20 umeufikia lini wakati kwa profile yako inaonesha umezaliwa Mei 19, 1995....?
unatafta mpenzi ambae baadae ni LAZIMA aje kukuoa?
Je huu umri wa miaka 20 umeufikia lini wakati kwa profile yako inaonesha umezaliwa Mei 19, 1995....?