Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,654
mkuu naomba unisamehe kama nimekukwaza ila nimefanya utafiti nimeona hivyo na ni mara zote.Sina nia yoyote mbaya nataka kufahamu tu..Kama una jibu nisaidie..
maranyingi ni ile adhana ya alfajiri
Niliwahi kujibiwa hivi:- Nadhani mapepo na wachawi wanaonekana live wakikimbia na kutapatapa wasikiapo jina la mungu likitajwa, na ni wanyama pekee wenye uwezo huo wa kusikia na kuona.Hata wale wanaofanya kazi za kuchunga wanyama hasa maeneo ya makaburini hushuhudia na hushtushwa na vibweka vya wanyama kama mbuzi, ng'ombe, mbwa na kondoo kwenye maeneo hayo ya makaburini eti ni kwamba wanasikia na kushitushwa marehemu wakiadhibiwa kaburini.
Hizo ni imani ambazo sijawahi kusikia uthibitisho wake kiimani, kidini wala kisayansi.
Hii kitu siyo jungu mkuu:
JINN ARE CREATED TO WORSHIP ALLAH
I only created jinn and man to worship Me. (Surat adh-Dhariyat, 56)
JINN ARE CREATED OUT OF FIRE
We created the jinn before out of the fire of a searing wind. (Surat al-Hijr, 27)
SURAT AL-JINN IN THE QUR'AN
Say, [O Muhammad], "It has been revealed to me that a group of the jinn listened and said, 'Indeed, we have heard an amazing Qur'an. It guides to the right course, and we have believed in it. And we will never associate with our Lord anyone.
usijifanye hujui kuwa jamaa wanafuga majini, eti wanasema hata majini ni viumbe vya mnyazimungu wao!!
Hivi kuna uhusiano gani wa kisayansi ama wa kiimani muda ambapo adhana inalia na mmbwa nao wanabweka?Nimejiuliza maswali nimekosa majibu..Wenye ufahamu wanijuze..!
dah.....i hope huu ni mfano tuKifupi hakuna uhusiano wowote. Ni matukio tu yaligongana kwa muda yalipotokea. Fanyia utafiti wa kutosha ktk maeneo tofauti utapata matokeo bora zaidi.
Kuna mtu alidondoka karibu na kanisa huku kashikilia mb*o yake, baada ya kumuuliza alijibu kuwa kila akisikia mlio wa kengele wa kanisa hilo mb*o yake inasimama hadi inauma. Ingekuwa wewe ungetuletea uzi, "kuna uhusiano gani kengele ikilia, ny*ge zinapanda?" Kwa kurefer tukio hilo???
Jana nimepita mtaa mmoja nikiwa naendesha gari, daaah ! Mbwa wamelifukuzia gari huku wakibweka kishenzi !
Sio kweli usemacho. Mbwa
kama ni kubweka basi ni alfajiri. Sijawahi kuishi karib na msikiti,
lakini my guess is mbwa anafeel kuna interferrence ya ukimya uliokuwepo.
So anabweka kujihadhari na intrussion. I guess hata majogoo
huwika.
Mbwa na kuku huwa hawapendi spirits
Mbwa na kuku huwa hawapendi spirits
Dogs reduce good deeds of MuslimsSisi wakati tunaenda kuswali, nyie mmbaki kupambana na mapepo ! Maana kazi hiyo mnaimudu sana. Mmeacha kuswali kazi yenu ni kupungana mapepo tuuu ! Toka.....sitoki....toka....sitoki....kwa jina lake tokaaaaa ! Zogo mtindop mmoja !
Adhana ni mara tano kwa siku, je ni zote inakuwa hivyo? Umeanzia mbali lakini huna nia njema. Ungeshangaa kwanini kwenu wote ni mashoga kuanzia babu yako? Ukipata jibu utujuze hapa.