Samahani kaka..........eti umeoa................!

Samahani kaka..........eti umeoa................!

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Posts
8,809
Reaction score
15,438
Niko kwenye mghahawa mmoja katikati ya jiji, na niko peke yangu.....................Ghafla natupiwa swali hilo na muhudumu anayenihudumia.................

Nimemwambia nitamjibu nikimaliza kula.
 
Bado najiuliza ana maana gani.................Au kwa sababu sijavaa pete ya ndoa kama wengine...........!?
 
namwambia sijaoa....halafu nisikie atasemaje......
(au umedhani anataka kuwa shoga wa mkeo....?)
 
Bado najiuliza ana maana gani.................Au kwa sababu sijavaa pete ya ndoa kama wengine...........!?

Mtambuzi unajua baadhi ya wanawake wanapenda wanaume wenye umri kidogo ambao wanamaisha ili nao walapo kupitia mgongo wako mkuu.

Kwa hiyo ulikuwa tageti hapo bila kujijua, na hata kama ungesema umeoa bado penati isingepanguliwa.
 
Hivi kwani haiwezekani mwanaume kwenda kula kwenye mghahawa peke yake..................Lilikuwa ni swali la kijinga eh!
Kama ana tageti basi itakula kwake.............huyu atakuwa hamjui GUSTAVO huyu....................
Mimi nilikuwa mkware kiboko ya mambo......................Kwanza nina watoto humu, nisije nikaharibu..............LOL
 
namwambia sijaoa....halafu nisikie atasemaje......
(au umedhani anataka kuwa shoga wa mkeo....?)
Ngoja akirudi hapa nitampa hilo jibu...............Nimsikie atasemaje...............!
 
Mtambuzi bana!...sasa si umwambie umeoa? Kwani wewe unasubiri nini kumjibu?
 
Last edited by a moderator:
halafu unakula hotelini saa hizi mama Ngina yuko wapi? Kakuruhusu kweli? Mmmmmh.....
 
Kwanini upate kigugumizi?
Kwani hujui kama umeoa au la?
Mwambie ukweli aisee kuwa umeoa na una watoto 8.5
 
Kwanini upate kigugumizi?
Kwani hujui kama umeoa au la?
Mwambie ukweli aisee kuwa umeoa na una watoto 8.5
Jamani nimesema nitamjibu baadae kidogo...........Nikimaliza kula namtolea Lap Top namuonyesha picha zetu za Harusi.........Kuna ubaya gani kuonyesha ushahidi?
 
Back
Top Bottom