Sam ting wong

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Wachina wawili(mke na mume),walienda kuishi nchini nigeria.Baada ya miezi kadhaa kupita,mwanamke alipata ujauzito.Ilipofika muda wa kujifungua,yule mama wa kichina alijifungua mtoto mweusi kama kiwi.Baba wa kichina kuona vile,akampa yule mtoto jina SAM TING WONG yaani akimaanisha something is wrong! (b)Baada ya mkewe kumsaliti kwa kuzaa na mwafrika,mchina naye kaamua kuzaa na binti wa ki afrika.Alimpata binti mwafrika,yule binti alipata ujauzito.Siku ya kujifungua,alizaa mtoto wa kichina,lakini yule mtoto alidumu siku mbili tu akafa.Yule dada alisikika akilia huku akisema,"nilijua tu,vitu vya kichina havidumu".
 
Ahahahaha...
 
Wachina hawana wivu wa kijinga, kuna mchina sinza aliambiwa kijana mmoja anatembea na mkewe, akamfata na kumwambia najuwa unatembea na mke wangu naomba tupange ratiba.Kijana akahama mtaa siku hiyo hiyo.
 
Back
Top Bottom