Rutakyamilwa
JF-Expert Member
- Feb 27, 2009
- 1,871
- 1,242
Umaarufu gani? Nani hawezi kusema sema kama anavyosema sema ! Hizi ni kazi za SEE AND DO! Najua mtanipiga madongo eti nadharau kazi za watu, potelea Nairobi!Tangu apate umaarufu amekuwa anajisahau sana
Miss Chaga, sema, naona kama kuna kitu kiko rohoni kwako kinakuwa kigumu kukisema. Wasichana kwa mvuto wa watu wa namna hiyo hamjambo! Au vipiha ha haha
Mkuu huko nchi gani? Anyway yuko itvHuyo mahela anafanya kazi redio gani maana nasomaga nyuzi mbalimbali zinazomhusu yeye
mimi hajanishawishi bado ngoja nimuangalie tenaMiss Chaga, sema, naona kama kuna kitu kiko rohoni kwako kinakuwa kigumu kukisema. Wasichana kwa mvuto wa watu wa namna hiyo hamjambo! Au vipi
Tatizo la kujifungia ndani... Siku ukitoka nje kila kitu utakuwa unakisifiaMimi namkubali anaubunifu, tuache chuki binafsi ITV inawatangazaji bora, pia HATA reporters wake wako poa
Nafikiri huwa anajitahidi kutangaza kama Salim Kikeke wa BBC lakini safari bado ni ndefuMimi ananiachaga hoi anapobana midomo halafu anasema.. Mimi ni sama mahela (anatulia kidogo, anarudisha shingo nyuma kama ndege fulani kule kwetu wanaitwa nyamwiduli, kisha anapeleka shingo mbele) halafu anabinua mdomo anamalizia... Wa aitivi.
Kuna siku alikuwa anasoma Chiku Lweno sasa wakati sam anaripoti, alipobinua mdomo tu na kutulia kidogo akakatwa.
Ngoja waje, mbona midume karibu yote inafanya hivyo! Hata wazee hawataki mvi!Mhh Jitu dume anatia midawa kwe nywele km dadake...utamweleza nini huyo!!![emoji57] [emoji57] [emoji57]
Perfect! Hata Dotto Bulendu, ameshakuwa CCMised! Ukuu wa wilaya!Ni waandishi na watangazaji wachache tanzania wasio wanaCCM. Mbele ya zawadi ya ukuu wa wilaya wengi walijisahau na wameua taaluma.Vumilieni ipo siku watajitambua!
Swali kidogo, Unamlinganishaje na watangazaji wa CNN!Tukiacha utani jamaa ni mbunifu na anajua kuwakilisha taarifa yake vizuri.... Naona yupo 50/50 UKAWA Vs CCMTLP
Huyo mahela anafanya kazi redio gani maana nasomaga nyuzi mbalimbali zinazomhusu yeye
Mimi ananiachaga hoi anapobana midomo halafu anasema.. Mimi ni sama mahela (anatulia kidogo, anarudisha shingo nyuma kama ndege fulani kule kwetu wanaitwa nyamwiduli, kisha anapeleka shingo mbele) halafu anabinua mdomo anamalizia... Wa aitivi.
Kuna siku alikuwa anasoma Chiku Lweno sasa wakati sam anaripoti, alipobinua mdomo tu na kutulia kidogo akakatwa.
Kijana wa kiume anabana pua uliona wapi..?Huyu mahela nasikia ni danny mtoto wa mama
Basi mkuu imeeleweka kama jamaa nae ananufaika na NGO ya JHIEPEGOKijana wa kiume anabana pua uliona wapi..?
watangazaji wengi wa bongo wanamwiga Salim Kikeke, hili halina mjadala.Nafikiri huwa anajitahidi kutangaza kama Salim Kikeke wa BBC lakini safari bado ni ndefu
[emoji14] [emoji14] [emoji14] eti kama wanamzomea kiziwiwatangazaji wengi wa bongo wanamwiga Salim Kikeke, hili halina mjadala.
Kama utakumbuka kabla ya Salim, watangazaji wengi kama si wote walikuwa wanasoma habari kama wanashusha bendera ya taifa, yaani wamenyoka nyooo, hakuna kutabasam wala nini!
Lakini siku hizi wanajifanya wanasoma kwa mbwembwe. Mara wapinde utafikiri wamekalia kitu cha moto, mara watoe ishara kama wanamsomea kiziwi, mara watoe maoni yao kwenye habari yaani tabu tupu!
Hao akina sam hata mwongozo wa habari siku hizi hawafati, anajiongelea atakavyoona yeye inafaa.