Umuhirindahu
JF-Expert Member
- Feb 2, 2014
- 349
- 170
Salvar Kiir hawezi kumpa madaraka Riek Machar, someni historia ya Sudan Kusini muone, Salva Kiir ni mbabe wa vita hata Bashir Rais wa Sudani anamuogopa. Salva Kiir ndie mwanzilishi wa mapambano hai dhidi ya utawala wa Sudan miaka mingi iliopita, kwa kuwa hakwenda sana Shule Salva alimkaribisha J Garang kujiunga na SPLM, wakati huo Garang alitumwa na Bashir kwenda kufanya maongezi na vikundi vya waasi Nyumbani kwake Sudan kusini ya leo(mediator).Garang akabaki kusini kwa ushawish alioukuta wa Salva na akapewa uongozi na Salvar akabaki ngomeni kama Kiongozi wa jeshi. Riek ni msaliti, alisoma Khatuom mpaka degree zake kabla ya kwenda nje, alitumika Mara mbili kujiunga na kuwavuruga SPLM na vita vilitokea kati yake na Garang, Riek alishakuwa waziri Khartoum kwa Bashir , ni mroho sana. Salva ana wafia vita, watu walioipigania Sudan ya Kusini, kwa uchungu na ukombozi wa Sudani ya kusini Salva Kiir anazidi ata John Garang marehem kwa kuteseka. Soma Ujue.
Let me quote this words from you for my future reference