Salva Kiir Fires Mabior Garang De Mabior From Cabinet

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,623
Reaction score
8,427
President Salva Kiir has replaced six SPLM-IO ministers and two deputy SPLM-IO ministers in a decision that has unclear effects on the country’s floundering peace deal.

index.jpeg

The decision comes after Lam Akol resigned as Minister of Agriculture, calling the peace deal dead. It was unclear how much involvement the First Vice President Taban Deng had in Kiir’s decisions. Under the peace deal signed in August, the SPLM-IO were given a voice in which of their ministers were appointed.

In a Republican Decree, Kiir relived Alfred Lado Gore the Minister of Interior, and replaced him with Michael Tiangjiek Mut. Gore was named the Minister of Land, Housing, and Urban Development, replacing Mary Alfonse Nadio Lodira. Gore was one of the officials who appeared with Taban Deng when he announced he would replace Riek Machar as First Vice President.

Kiir replaced Dak Doth Bishok, the Minister of Petroleum, with Ezekiel Lul Gat. The former Minister of Higher Education Peter Adwok Nyaba has been replaced with Yien O.L. Tut.

Mabior Garang De Mabior, the former Minister of Water Resources and Irrigation has been replaced with Sofia A. Gai.

Peter Marcello, the Minister of Labour, has been replaced with Gabriel Duop Lam.

The Deputy Minister of the Interior Duop Lam has been replaced with Rieu Gatliek Gai.

The Deputy Minister of Labour Elizabeth Achuei has been replaced with Natake Allan.

Gabriel Yol Dok has also been replaced as the Presidential Advisor for Social Service Delivery, and Michael Mario Dhuor has been named the Presidential Advisor on Reforms, Monitoring and Evaluation. Finally, Ramadan Hassan Laku has been named adviser on Good Governance and Rule of Law.
 
Is Mabior related to the late Garang!?
 
Salva kiir ni wa kukamata na kunyoa ndevu kwa msumeno
Mwenye tatizo apo ni Riek machar, kwakuwa aliindaa mapinduzi na yakashindwa ivyo alikiuka makubaliano, bila shaka Riek Machar ndo wa kulaumiwa kwa vurugu izi za sasa na sio Salva kiir
 
Vurugu za sasa zimeanzishwa na Salva Kiir kwani majeshi yake yalishambulia msafara wa Riek Machar wakati wakisindikiza wageni wake airport na ndipo majeshi yanayomuunga mkono Machar yakajibu Mapigo na hatimaye kusababisha mapigano upya na hiyo yote ni Salva kiir lengo lake ni kummaliza kabisa hasimu wake
 
Labda habari zinapotoshwa mkuu, siku ile machafuko yanaanza Riek na Salva walikuwa ikulu pamoja, mpango wa Machar ulikuwa ni kumteka Salva na yeye kutangazwa raisi, sasa wakati majeshi yake yakitoka kambini na silahaa nzito nzito bila kusimama kwenye vizuizi kuelekea ikulu apo ndipo wanajeshi watiifu kwa Salva wakawa wanawashambulia wale wanajeshi watiifu kwa Machar waliokuwa wanagoma kusimama kwenye vizuizi kuelekea ikulu kwa kukamilisha mpango wa mapinduzi ndipo mapambano yalipoanza, na kama utakumbuka Machar alipopata mwanya tu wa kutoka ikulu akakimbilia mafichoni, apo utapata picha ya kuofia kosa alilotenda mwenyewe, na kwa kauli ya Salva ni kuwa alijua kilichotekea lakini alilinda amani na kumpa muda Machar arudi ofisini lakini kwa kuogopa Machar hajarudi mpaka sasa, apo utaona mkorofi ni nani? Na uyo Machar amekuwa mkorofi tangia enzi za Garang mara ajitenge aunde kundi lake mara arudi na nk, kwa ivyo utaona ni kiasi gani Riek Machar ana uchu na uroho wa madaraka.
 
Wamepata mafuriko makubwa mto Nile umefurika sana kwa namna ambayo haujafurika katika miaka 100 iliyopita.

On top of all this.
 
Hivi majeshi ya Riek Machar yamegawanyika au bado yoote yanamtii kwa asilimia mia moja!? Je kuna majeshi ya upinzani ambayo yapo upande wa makamu wa rais mpya aliyechukua nafasi ya Machar!?
 
Salvar Kiir hawezi kumpa madaraka Riek Machar, someni historia ya Sudan Kusini muone, Salva Kiir ni mbabe wa vita hata Bashir Rais wa Sudani anamuogopa. Salva Kiir ndie mwanzilishi wa mapambano hai dhidi ya utawala wa Sudan miaka mingi iliopita, kwa kuwa hakwenda sana Shule Salva alimkaribisha J Garang kujiunga na SPLM, wakati huo Garang alitumwa na Bashir kwenda kufanya maongezi na vikundi vya waasi Nyumbani kwake Sudan kusini ya leo(mediator).Garang akabaki kusini kwa ushawish alioukuta wa Salva na akapewa uongozi na Salvar akabaki ngomeni kama Kiongozi wa jeshi. Riek ni msaliti, alisoma Khatuom mpaka degree zake kabla ya kwenda nje, alitumika Mara mbili kujiunga na kuwavuruga SPLM na vita vilitokea kati yake na Garang, Riek alishakuwa waziri Khartoum kwa Bashir , ni mroho sana. Salva ana wafia vita, watu walioipigania Sudan ya Kusini, kwa uchungu na ukombozi wa Sudani ya kusini Salva Kiir anazidi ata John Garang marehem kwa kuteseka. Soma Ujue.
 
Hivi majeshi ya Riek Machar yamegawanyika au bado yoote yanamtii kwa asilimia mia moja!? Je kuna majeshi ya upinzani ambayo yapo upande wa makamu wa rais mpya aliyechukua nafasi ya Machar!?
Yamegawanyika haswa, katika Kabinet ya Riek Machar walianza kugombana kutokana na misimamo ya Riek, ambayo alikua hataki kueshim order za Rais Salva Kiir, Waziri wake Taban Deng akahoji, na Riek akamfuta kazi. Kumbuka Taban Deng ndie Mpatanishi alie kuwa muhim wa Riek Machar katika mapatano ya IGAD kule Ethiopia, kwahiyo watu muhim 100 katika kabinet ya Riek Machar wakamfuata Taban Deng na kutoshiriki kabinet lakin wakabaki huko huko SPLM-IO. Riek Machar akaanzisha vitimbi kwa kuwa akaona siasa zake zinatupwa mkono na watu pamoja na washirika wake, kwahiyo akamtuma Mabior Garang mtoto wa John Garang kufanya vitimbi ili watu waone Rais Salva mgomvi, akawa anavaa ndala na tai kwenye vikao vya uwazir,Raisi akawa anamtimua. Kwa sasa Riek anajiaribia kwa kuwa Rais Salva anaimarisha utawala wake yeye anafifia.
 
Nashukuru kwa ufafanuzi, ila kuhusu majeshi hujaweka wazi kama nayo yamegawanyika, maana kama jeshi zima la upinzani lipo upande wa Machar isipokuwa wanasiasa bado ni hatari kwa mustakabali wa nchi husika.
 
Kuhusu Majeshi vikosi vya kambi 2/3 bado vinamtii Riek Machar ambako vikosi hivyo vipo kasikazini ya nchi katika jimbo la Bentiu na Unity State. Taban Deng makamu wa Raisi kwa sasa anatoka katika jimbo la Unity State ambapo mwanzo alikua Gavana huko kwa kumshinda mke wa Riek Machar!. Aliacha ugavana baada ya kuwa mpatanishi then waziri katika mfumo wa Riek Machar! Taban Deng kwa sasa anakinunua kikosi cha waasi cha Unity state kinachomtii Machar! Kwa sababu Machar hajawalipa Mshahara waasi mwaka na nusu sasa! Jana Mageneral waandamizi wa Unity wamedefect(wameasi) wamekimbilia Katika kikosi cha Serikali (salva kiir)huko Unity State. Kumbuka Machar ni mnueri kwa kabila na Tabani Deng ni M'bul nuer kwahiyo kinachofanyika sasa ni 'money buy the best' mwisho Machar atabaki na Mgambo na ndipo muungano utakua hauna maana tena!.
 
#moro'one', asante kwa nondo mkuu

Nimefurai kujua hayo yote.
 
Labda habari zinapotoshwa mkuu, siku ile machafuko yanaanza Riek na Salva walikuwa ikulu pamoja, mpango wa Machar ulikuwa ni kumteka Salva na yeye kutangazwa raisi, sasa wakati majeshi yake yakitoka kambini na silahaa nzito nzito bila kusimama kwenye vizuizi kuelekea ikulu apo ndipo wanajeshi watiifu kwa Salva wakawa wanawashambulia wale wanajeshi watiifu kwa Machar waliokuwa wanagoma kusimama kwenye vizuizi kuelekea ikulu kwa kukamilisha mpango wa mapinduzi ndipo mapambano yalipoanza, na kama utakumbuka Machar alipopata mwanya tu wa kutoka ikulu akakimbilia mafichoni, apo utapata picha ya kuofia kosa alilotenda mwenyewe, na kwa kauli ya Salva ni kuwa alijua kilichotekea lakini alilinda amani na kumpa muda Machar arudi ofisini lakini kwa kuogopa Machar hajarudi mpaka sasa, apo utaona mkorofi ni nani? Na uyo Machar amekuwa mkorofi tangia enzi za Garang mara ajitenge aunde kundi lake mara arudi na nk, kwa ivyo utaona ni kiasi gani Riek Machar ana uchu na uroho wa madaraka.

well argued sir. you have my respect
 
Kuhusu Majeshi vikosi vya kambi 2/3 bado vinamtii Riek Machar ambako vikosi hivyo vipo kasikazini ya nchi katika jimbo la Bentiu na Unity State. Taban Deng makamu wa Raisi kwa sasa anatoka katika jimbo la Unity State ambapo mwanzo alikua Gavana huko kwa kumshinda mke wa Riek Machar!. Aliacha ugavana baada ya kuwa mpatanishi then waziri katika mfumo wa Riek Machar! Taban Deng kwa sasa anakinunua kikosi cha waasi cha Unity state kinachomtii Machar! Kwa sababu Machar hajawalipa Mshahara waasi mwaka na nusu sasa! Jana Mageneral waandamizi wa Unity wamedefect(wameasi) wamekimbilia Katika kikosi cha Serikali (salva kiir)huko Unity State. Kumbuka Machar ni mnueri kwa kabila na Tabani Deng ni M'bul nuer kwahiyo kinachofanyika sasa ni 'money buy the best' mwisho Machar atabaki na Mgambo na ndipo muungano utakua hauna maana tena!.

Mkuu, uko South Sudan? i like your analysis and geopolitics knowledge of yours. Congrats
 
Kuhusu Majeshi vikosi vya kambi 2/3 bado vinamtii Riek Machar ambako vikosi hivyo vipo kasikazini ya nchi katika jimbo la Bentiu na Unity State. Taban Deng makamu wa Raisi kwa sasa anatoka katika jimbo la Unity State ambapo mwanzo alikua Gavana huko kwa kumshinda mke wa Riek Machar!. Aliacha ugavana baada ya kuwa mpatanishi then waziri katika mfumo wa Riek Machar! Taban Deng kwa sasa anakinunua kikosi cha waasi cha Unity state kinachomtii Machar! Kwa sababu Machar hajawalipa Mshahara waasi mwaka na nusu sasa! Jana Mageneral waandamizi wa Unity wamedefect(wameasi) wamekimbilia Katika kikosi cha Serikali (salva kiir)huko Unity State. Kumbuka Machar ni mnueri kwa kabila na Tabani Deng ni M'bul nuer kwahiyo kinachofanyika sasa ni 'money buy the best' mwisho Machar atabaki na Mgambo na ndipo muungano utakua hauna maana tena!.
LATEST:
S. Sudan’s Machar Welcomes Regional Calls for His Reinstatement

FILE - South Sudan opposition movement leader Riek Machar (C) meets with supporters at Juba international airport, in Juba, South Sudan, April 26, 2016.

RELATED ARTICLES

Peter Clottey
August 06, 2016 11:42 AM

The leader of the Sudan People’s Liberation Movement in Opposition (SPLM-IO), Riek Machar has welcomed the backing of regional leaders who support reinstating him as South Sudan’s first vice president, according to his spokesman, James Gadet Dak.

In a meeting held in the Ethiopian capital, Addis Ababa Friday, the leaders from the Intergovernmental Authority on Development (IGAD) recommended both that Machar be reinstated and that a regional peacekeeping force should be deployed to protect civilians as part of an effort to ensure the full implementation of last year’s peace accord signed by both President Salva Kiir and Machar.

Local media quoted Sudan’s Foreign Minister Ibrahim Ghandour as saying the regional leaders are trying to secure Juba through a regional military force to be agreed upon by the chiefs of staff of the armies of the east African block.

“[We] called for a dialogue between Kiir and Machar, agreed to work for Machar’s reinstatement as First Vice President, and to implement the security arrangements as provided in chapter II of the peace agreement in order to stop definitively the fighting and move forward towards the full implementation of the agreement,” said Ghandour.

Some South Sudanese wonder how soon Machar would return to the capital, Juba, especially because Sudan's President Salva Kiir has recently replaced Machar with Taban Den Gai.

FILE - South Sudan's First Vice President Taban Den Gai (L) speaks with President Salva Kiir after being sworn in, replacing opposition leader Riek Machar, at the presidential palace in Juba, South Sudan, July 26, 2016.

Supporters of Kiir say he was forced to fill the position after Machar refused to return to Juba. Machar's spokesman, Dak, says the former rebel leader would only return to Juba after the regional force is deployed to improve security. He denied Machar is to blame for refusing Kiir's requests to return.

“We welcome this resolution by IGAD. This is what we have been saying, that we need a third party force to be deployed in Juba so that it could separate the two rival forces and to protect not only Dr. Riek Machar, but also the collective leadership of South Sudan including President Salva Kiir himself,” said Dak.

“There is no delay on his part, but it is the delay on the regional body the IGAD because they could not deploy the third party force. Dr. Riek Machar was waiting for the third party force to be deployed in Juba so that he could return. This is what he has been saying and he has been clear about it. So as soon as the regional body deploys the third party force, immediately Dr. Riek Machar will return to Juba.”

Taban Den Gai, the newly installed first vice president to replace Machar says he is willing to step down following the decision of the regional leaders.

But, civil society organizations have expressed concern about what to do about the reshuffling President Kiir undertook. Kiir replaced Machar and made new appointments including the new petroleum minister Ezekiel Lol Gatkuoth, who was a former Machar ally. Dak insisted that any appointments that occurred while Machar was absent are illegal and the former ministers should be reinstated.

Back
Top Bottom