Natafuta mpenzi (seriously)vigezo
Awe mweupe mrefu
Awe mtanashatianayejipenda
Awe anakwenda na wakati
Awe anapenda usafi
Awe na mapenzi ya dhati
Awe msema ukweli
Awe na elimu na makazi yake wenyewe
Miaka kuanzia 35 na kuendelea
Awe anajua kubembeleza.....mplz nisaidieni
haya bhana
kila la kheri mwaya.
Natafuta mpenzi (seriously)vigezo
Awe mweupe mrefu
Awe mtanashatianayejipenda
Awe anakwenda na wakati
Awe anapenda usafi
Awe na mapenzi ya dhati
Awe msema ukweli
Awe na elimu na makazi yake wenyewe
Miaka kuanzia 35 na kuendelea
Awe anajua kubembeleza.....mplz nisaidieni
Vipi.......naona wachumba wanajileta. Hivi eda inaisha lini vile
Umeamkaje,
mashart na vigezo kwangu hakuna
mimi nataka mwoaji aseme.