Nimekugongea thanx kule na ninakuongezea nyingine hapa kwa kiswahili ASANTE, kumbe kweli ilishawahi kuwepo hapa, hii nimequote toka michuzi,
hongera kwa Xpin kama ni utunzi wake pia na sio wizi wa kazi za wasanii kama unavyofikiri, ndio maana ya
Quotation FYI.