Salute na heshima kwa lowassa...

Salute na heshima kwa lowassa...

Elisabella

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2015
Posts
215
Reaction score
81
Kwanza nianze na kuwapongeza ccm kwa strategy zenu uchwara!!
Mmetumia nguvu nying sana kweny kampen na sio akili. Badala ya kunadi sera mnatishia wananchi vita na machafuko leo hii kila nikikutana na mwanachama wa ccm anaogopa kwenda kupiga kura! Mmetishiana wenyw na kupiga kura muogope wenyew! Badala ya kujenga mmebomoa kuna wamama huku wanasema sku hyo hata nje hawatatoka watanunua mboga jumamos cku ya j2 hata milango hawatafungua eti wanaogopa vurugu! Aliehubri vurugu ni nyiny wenyew, instead of kuhamasisha watu mnawaogopesha,kuna wazee wengine wanasema hawatak kukimbaza na askari,wengine wanasema ijumaa wanarud vijijin watarud uchaguz ukiisha yote hayo nyie ndo mmewatisha wanachama wenu! Nashukuru kila nikikutana wa wanaukawa wamehamiska kweli wanataka mabadiliko pongez kwa mbowe na team yake kwa elimu mnayotoa kwa wananchi! Ccm kusema watu wa ukawa ni vibaka na wapenda fujo mmewakimbiza wapiga kura wenu wenyew bila kujua, ukikutana na ccm utasikia 'hawa bodaboda wana fujo kweli mi naogopa hta kwenda kupiga kura' hzo bodaboda fujo wametoa wapi? Mbona kila siku mnapanda? na mm nawaombea muendelee kujawa na woga mpk huohuo ndo mavuno ya viongoz wenu!
Kwetu ss every vote counts! Kura ya kibaka tunaitaka,ya bodaboda,ya changudoa,ya wanywa viroba zote ni kura na za malofa pia! Mkapa alisahau huu msemo' Get all the fools on your side and u can be elected to anything! So malofa wote na wasomi wote tunataka kura zao thts y hututukan mtu wala kuita mtu oil chafu au makapi koz kura ya makapi inahesabiwa na yenyw ni kura pia!
Kama chama tawala ilibdi muwe mmekomaa kisiasa kitu ambacho lowassa amewashinda. Mnasema mnataka mabadiliko lakini ni wizi mtupu juzi Janauary katuambia chopa za ccm zipo salama,baada ya muda anasema chopa ya deo imeanguka ila abiria wote wapo salama tukashukur mungu tukalala asbh wazr nae anatuambia stori hyohyo ila baada ya muda tunapata taarifa wamefariki! Hvi mtabadilika lin? Kama kitu hamjui nyamazen basi tafuta ushaadi then come to us!! Kutupa false hopes hatutaki!! Hayo mabadilko ni ya kitu gan kama hayaanz kweny nafsi zenu? Au kama hujui don't say anythn mnatukera sana zile taarifa za kwamba wapo salama afu baada ya mda mnasema wamefarik mnadhan familia zao na watu wa Ludewa mliwapa wakati gani? Kweli mtaleta mabadiliko nyie?
Sshv mnatapatapa,mnahangaika UR TRAPPED IN YOUR OWN CAVE ..there is smoke in there..ur suffocating,u can't breathe..its chokin u! Mko terrified,ur guilty is eating u alive mnasema ccm mbele kwa mbele bt ur dwelling on the past,ur past is haunting u..u can't run away from ur mistakes, ahadi zenu za oungo zinawacost! You created bad karma for yourself n now its comin for u.. ur even scared of ur own shadow!u have nightmares u can't sleep at night na asbh mnakuja mmefura mmevimba mnaongea kwa hasira..mmepanic na mkikosa hoja ni matusi tu! Wananchi wanawachora tu!Mtu kama Nape kwa cheo chake na muda aliofanya siasa hakutakiwa kua hvyo, ilitakiwa tukimuona nape na msukuma tofauti iwe wazwaz lakn hakuna kitu! Mmekua ovyoovyo tu! Mikutano yenu wanakuja watoto mpk wazee,unapoona mtu mzima anatukana matusi mazto mbele ya watt na wakubwa zake ni kukosa heshima. Mbaya zaid wale ni wazee wanapima kama mwenzao anatukanwa kias hicho wao je? Na wengne wako ple kila mtu na gonjwa lake wanakufikiriaje ww?? Elimu ni tatizo sana kuna wanasiasa wanahitaji elimu ya kujitambua pia!! MBADILIKE sio kila mwaka ni 1995! Sshv kila mkiongea mnasema ya 1995 hii 2015 jaman hamlitambui hilo?
Nije kwa kipenzi chetu lowassa! Namsifu kwa kua mvumilivu na busara sababu kiongoz mweny hekima kamwe huwez furahia matusi kweny jukwaa lako nakumbuka zitto alimkanya na kumuombea msamaha yule kijana alietukna pale Mbagala ila wengine wanachekelea tu! Mtu mweny busara huwez ambia watu wanye wasambze barabaran kinyes wapate lami au wapige mbzi baharini! Hzo sio busara hata kidg! Mtu mweny busara huwez choma nyavu za wavuvi hata kama wana wanakosa unajua walinunua kias gani hizo nyavu? Na je ukichoma watafanya kaz gan baada ya hapo? Weny hekima hwez bomoa nyumba ya mtu ambaye unajua hana pa kwenda na kiwanja aliuziwa na serikali bila kuambiwa hapo barabara itapita,hyu si kiongoz! Mtu mweny hekima hutambua michango ya wenzie na c kujisifia yy pekeake! Mtu mweny hekima hawez tamaza kibanzi kweny jicho la mwenzie na yy lake lina boriti kubwaaaa lazima afikirie mbali zaidi!
Lowassa kakutana na mengi sana ametukanwa ,amedhalilishwa kweny majukwaa yenu,amefedheheshwa na kuna waliothubutu kusema hataweza kumaliza kampen, wapo waliomtabiria kifo lakin kwa uvumiliv n busara zake hakujibu kitu kwa sababu anajua hakuna kilicho chepesi changmoto ni nyingi, ameweza kupambana na changamoto hzo n mpk leo bado kasimama! Kuna mtu hujuma kidg tu kapanik wanahujumiwa madiwan sembuse yy?
Khs suala la usafi ccm mmefanya kazi ya kumsafisha kwa muda wa miaka 8,hakuna aliemfungulia kesi,takukuru walimsafisha na tukaambiwa alipata ajali ya kisiasa,hata Mwakyembe hakusoma report yote so hatujui kama yaliyomo yamo au la! Tumemkubali hvyohvyo alivyo na mapungufu yake cc hatutak mtu aliekamilika koz hakuna mkamilifu! Hatutak mtu anaejua kila kitu,idadi ya dagaa anajua yy,samaki yy, mbwa wote anajua yy no tunamtka hyuhyu asiekamilika sababu na cc hatujakamilika pia. Na tupo nae no matter what!!
Tunafaham kwamba Lowassa ni mchapakzi hana haja ya kulitamka hlo kila dakika wala kujisifia ss tunafaham hilo!
Suala la uadilifu peleken Vatican hapa hatuchagui papa wala kardinali na huko kwenu kama kuna msafi na muadilifu asimame tumuone kama yupo! Tuna upendo wa kweli kwa Lowassa na tunamtaka hvohvo alivyo na tunamuombea kila cku ndio maana mnamuona bado anadunda tu licha ya kumwombea mabaya!
Mwisho tunataka mabdilko ndio maana we don't let the past define who we ar nw or our future..we correct our mistakes,we forgive n move on hayo ndo maisha nyi endeleen kutalk the talk na kupiga propaganda za kucopy na kuedit ss tulifanya maamuz hata kabla kampen hazijaanza!
Tukutane oct 25!
 
Asante mwandishi. Hii nimependa. Ccm acheni kujitekenya
 
Mh, Haivutii kusoma Dah naskitika nimeshindwa kuupata ujumbe ulioko ndani .
 
Uko vizuri kwenye kuandika ila jitahidi kuweka kama dondoo kusoma kwenye screen sio rahisi kama gazeti. Vinginevyo safi sana
 
Ni kweli inachosha kusoma kama umezoea kufurahia burudani za Shilole na Khadija Kopa, ila kwa GT wa JF hiyo ni habari fupi isiyochosha na ya kufikirisha

Mkuu kuna utaratibu wa kiuandishi ambao mwandishi anapaswa kuufata ili kuweza kumteka msomaji.

Kwa namna alivyoandika huyu nna hakika hata akiomba kazi hapati.

No distance or any indications between paragraphs....Mpangilio uko very poor.
Hana haadhi ya kuitwa great thinker.
 
Hakuna aliyelipwa kufagia barabara. Mambo safiii Mwanza, kule mpakani jamaa hoi kashindwa kusimama.
 
Back
Top Bottom