Salute Jux Vuitton, sasa naanza kukuelewa

Jux wa kawaida sanaa na effects zake za sauti, bahati yake anaimba kipindi ambacho wenye rnb yao wamepumzika.

Wimbo kauandika Mabeste, mpeni credit na yeye.
Nadhani ni vyema mkampa heshima yake mabeste ambaye ameandka lyrics zote za huo wimbo, pamoja na kuandaa melody, kazi ya Jux ikawa ni kuimba tu.
Jux amemlipa milioni 2 Mabeste kwa hiyo kazi.
Sawa... lakini bado huwezi kuwalaumu wanaopa big up Jux kwani ndivyo film and music industry ilivyo! Kwenye movie kwa mfano, majority wanasahau umuhimu wa mwandishi wa script na director ambao ndio msingi wa utamu wa filamu yoyote ile... hata hivyo, mashavu yote yanaenda kwa waigizaji... c ajabu hata wewe nikikuambia unitajie waandishi wa script watano kutoka Hollywood, basi ni lazima u-Google (unless kama nawe upo kwenye hiyo tasnia) lakini nikikuambia unitajie waigizaji 50 kutoka Hollywood, c ajabu unaweza kutaja wote bila ku-Google!

Hata hivyo, kwenye muziki issue sio mtunzi wa mashairi bali issue ni mtengeneza melody... melody ndizo zinafanya watu wapende nyimbo fulani... ndio maana unaweza kuchizika na ngoma ya Santana wakati imeimbwa kwa Ki-Hispania wakati Kisapaniola chenyewe si ajabu hukifahamu! Ni mara chache sana watu wanachizika na mashairi badala ya melody na mautundu ya producer!
 
kweeeli
 
Sisikii - Jux [mp3]

watch
Uwekeni basi tuudownload

Wekeni link tu download basi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom