umenena.......nidai pepsi pleeeeeeeeeeees!!!!!!!!Ukiwa na hofu na mkeo chunguza kisha ondoa hofu yako, la sivyo hofu itapelekea kuishi maisha ya hofu, mafarakano mashaka. Mapenzi na uaminifu hayadumishwi kwa kumzuia mkeo kwenda sehemu au kumfuatafuata kila pahali, mapenzi yanadumishwa kwa mapenzi na kuaminiana.
umenena.......nidai pepsi pleeeeeeeeeeees!!!!!!!!
MI bora ni kae kimya tu
kweli kazi ipo, vinginevyo bora uoe bubu asiyejua kusema kidogo kuna kazi, ila wanawake wasemaji kweli ni balaa tupu.Musihofu. Utandawazi una mengi sana. Hiyo ni rasharasha mvua yenyewe bado. Wanaume mpooooo!!!!!!!!!!!!!! Kama hivyo ndivyo subiri kauli kama ..Na wewe unasema mbele ya wanaume..... wewe si Mpangaji/mgeni tu ...... Mwanamme suruali......... Mie nimechoka .....nk.nk.nk.nk. Omba Mungu hali hiyo isikukute. Mungu apishie mbali.:confused2:
nimeambiwa hizi saluni za gharama za kuwarembesha hakina mama nasikia ndo akina mama wengi wenye busara zao hukutana na mabwana zao kwakuogopa umbea wa magazeti ya udaku!!hivyo ukienda huko ukakuta unisex ujue watu huko kuna chumba!private room!!
Na wazito ndo maeneo yao!!kwahiyo mkeo akikwambia anaenda saluni jaribu kufahamu wasfu wa saluni!!:eek2:
well said Amoeba,ni muhimu sana kny mahusiano na ni vema kuzingatia pande zote si kwa wanawake tu even men.Ukiwa na hofu na mkeo chunguza kisha ondoa hofu yako, la sivyo hofu itapelekea kuishi maisha ya hofu, mafarakano na mashaka. Mapenzi na uaminifu hayadumishwi kwa kumzuia mkeo kwenda sehemu au kumfuatafuata kila pahali, mapenzi yanadumishwa kwa mapenzi na kuaminiana.
well said Amoeba,ni muhimu sana kny mahusiano na ni vema kuzingatia pande zote si kwa wanawake tu even men.