Salumu Bashite afariki Dunia akiwa gesti huko Geita

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
20,715
45,114
Mkazi mmoja wa Geita, Salum Bashite amekutwa akiwa amefariki dunia katika nyumba ya kulala wageni huko mkoani Geita.

Habari zaidi zinakuja...
363f19fbd5712d6deb233bdbc33cc0c1.jpeg
 
Mkazi mmoja wa Geita, Salum Bashite amekutwa akiwa amefariki dunia katika nyumba ya kulala wageni huko mkoani Geita.

Habari zaidi zinakuja...View attachment 1179768
Mimi nilivyosikia Bashite afariki nilidhani Bashite "Paul Makonda"??!!!!!Nimerukkaaa kwa furaha ila kusoma na kuona Salum Bashite huzuni imenishika.
Mungu amsamehe kwa kila baya na ampe rehma kwa Kila zuri.
 
Back
Top Bottom