Salum Mwalimu punguza kamba!

Salum Mwalimu punguza kamba!

Kamshinda seleman jafo? Wana siha wakichagua ccm watapata huduma zote za msingi
 
World Bank ipi ambayo ameshindwa kuongea nayo walau waboreshe mandhari ya makao makuu yao; maana kile kibanda pale ufipani kinawatia aibu.

Jay z alikuja mwananyamala kuzindua kisimaa kama balozi wa world bank kwa nchi masikin kama tz upande wa maji aliwasiliana na malaika kuja huku? Sasa Salum anashindwaje kwa mfano? Akili zenu ndogo sna mnafikir world bank wako sambamba na Mungu.
 
Eti anawaaahidi wanakinondoni wamchague ili ndani ya miezi mitatu aongee na world bank kutekeleza miradi ya maendeleo.

Hivi Mwalimu anawaonaje wanaKinondoni?

Hizi siasa za kilaghai tutaacha lini?
Sawa Salum Mwalimu anaweza kuonekana kaongea ili mradi tu lakini wabunge kibao huwa wanaomba misaada kwa wafadhili nje ya Nchi na wanasaidiwa..

Vipi na Mtulia aliyesema kwamba sasa hivi akichaguliwa atakuwa akipita kwenye gari anasalimia wananchi kwani ana uhakika wa kushusha vioo vya gari kwasababu hawezi kupigwa risasi..!!
Unaonaje akili za huyu.??
 
Wewe jangalao dunia ni kijiji kwa sasa, kuna mradi wa kuchakata takataka meya wa ubungo jakob aliongea na wachina vizur ule mpango ambao tz ingekuwa mnufaika lakin wakina makonda wakaleta siasa kipi kinashindikana hapo?
 
Eti anawaaahidi wanakinondoni wamchague ili ndani ya miezi mitatu aongee na world bank kutekeleza miradi ya maendeleo.

Hivi Mwalimu anawaonaje wanaKinondoni?

Hizi siasa za kilaghai tutaacha lini?

tuanzie hapo kwanza siasa za kilaghai hivi huyo mtulia alipotuambia anajiudhuru ili kumuunga mkono rais si alimaanisha akiwa mbunge hawezi kumuunga mkono rais??

sasa anagombea tena ili iweje??
 
World Bank ipi ambayo ameshindwa kuongea nayo walau waboreshe mandhari ya makao makuu yao; maana kile kibanda pale ufipani kinawatia aibu.
World bank hukopesha/hufadhili shughuli za maendeleo tu
 
Eti anawaaahidi wanakinondoni wamchague ili ndani ya miezi mitatu aongee na world bank kutekeleza miradi ya maendeleo.

Hivi Mwalimu anawaonaje wanaKinondoni?

Hizi siasa za kilaghai tutaacha lini?
Ataongea na world bank. Anaweza kufanikiwa au asiwanikiwe kupata fedha za huo mradi
 
Sasa wewe Jingalao, wasipomchagua Mwalimu, wamchague nani?.Mtulia aliyechoka na ubunge na kujiuzulu, au yule wa cuf Lipumba(ccm) anayechochea kuvunja Muungano kwa kusema Mwalimu ni Mzanzibari?
 
Avatar yako inaakisi unachoshangaa...!! Yaani unamuona mbunge ni mtu mdogo sana hawezi kuomba world bank...!?? Mbunge anabeba dhamana ya watu wa Jimbo zima anashindwa vp kupata msaada kutoka ktk taasisi kubwa km world bank!?? Kweli ujinga ni mzigo.
 
Back
Top Bottom