figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 26,662
- 59,100
Aliyekuwa naibu katibu Mkuu CHADEMA bara Salum Mwalim ana hela chafu.
Ana hela hadi zinamwagika. Mimi kanipa laki tatu za kibongo.
TAKUKURU mpo wapi? Nipo tayari kutoa Ishahidi. Mkoba wenye Hela za Salum Mwalimu ameushika Henry Kilewo. Hela zimetoka kwa Mama wa Zanzibar kupitia mwanaye mpendwa ili kuvuruga Upinzani. Halafu watu wanadai Tanzania Masikini.
Mtu alokuwa ananiambia nimchangie hela ya Mikutano yake Zanzibar leo ananipa hela nikanywe Kimiminika ninachotaka Juliana Mbezi! Mimeogopa sana.
Pale Dodoma hadi Mwezi wa 12 mwkaa 2024 Boma lake lilikuwa kwenye madirisha hadi limekuwa la kijani.
TAKUKURU niiteni niwape Ushirikiano. Au hata Polisi...
Last time walinionea wakaniita pale Gorofa ya Nane interpol jengo la mabo ya ndani posta. Safari hii nao waniite niwape za ndani.
Eti Abdul Hassan ndo anagawa Hela.
Yaani Makada wa CHADEMA wanapewa Milioni 200 Wahame mimi niliyeona hela napewa laki tatu. Hizi ni dharau..
Ushauri: Kama wewe ni Mwanasiasa wq CHADEMA na unaona mambo hayaelewi, Itisha press conference jifanye inahamia CHAUMA.
Karibu yake ni laki 5.
Natamani kupata Wadukukuzi tuduke account ya Salum Mwalimu
Uzuri hii ID anaijua. Akinichoma nami nachoma ID yake😂😂
Salum Mwalimu aulizwe alipo mdude Nyagali