Anajiita mpinzani lakini anawazungumzia wapinzani wenzake kama yeye hayumo.
Anasema kuwa atampigia kura mgombea wa urais wa chama tawala lakini yeye bado ni mpinzani.
Anaunga mkono G-55 wakati G-55 wamesema wazi kuwa mfumo wa sasa wa uchaguzi si wa haki.
Hivi anadhani G-55 watamteua agombee ubunge?
Anatakiwa aseme bila kumung'unya maneno kuwa Bunge likivunjwa atahamia CCM na atagombea kama mwanachama wa CCM.
Anataka tu kuharibu mjadala uliokuwepo.
Amandla...