Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,737
- 107,187
Kutomtoa mwingine si sababu cuz' Felician Mutta yeye biashara yake ilikuwa ni muziki kupitia FM Studio na wala hakuwa na time ya kumuibua mtu!! Na hili ni kawaida kama zilivyo studio kadhaa duniani!! Nyingi ya hizi studio kama sio zote zinachofanya ni kukupa exposure na kukuingiza sokoni kama ulikuwa ni wa mtaani tu.Na hii dabate itaendelee kwa muda mrefu lakini mwisho sote tutajua kuwa Saida ndiye alikuwa na kipaji na ndio maana huyu Muta hajamtoa msanii mwingine baada ya hapo ...kama kweli ni 'professional promoter'!?
Vivyo hivyo huyu anayesema kurudia nyimbo (remake) ni kitu cha kawaida ajiulize kipindi wimbo huu unatoka ulihit kiasi gani kulinganisha na nyingine za wakati huo alafu uangalie miaka 16 baadae ni nyimbo ngapi zimetolewa mpaka urudiwe huo!? Hata mimi naweza kukaa studio usiku kucha lakini kipaji changu kikategemea wengine kunitoa.
cc: chige
Watoto wa siku hizi ni welevu tofauti na sisi miaka 20 iliyopita. Nadhani mziki pendwa wa aina hii hauna tija kwa jamii. Lazima turudi nyuma na kujitathmin.Ni kweli una lugha kali lakini uzuri ni kwamba, ukielewa mitusi iliyomo mle basi fahamu ushakuwa mtu mzima vinginevyo utaishia kudhani anazungumziwa ngongoti mwanadamu kumbe ngongoti mlingoti ukiwa unasoma network 101%!! Tena Raymond ndo kazidi kumwaga mitusi sema the kid is so smart... huwezi kujua kwamba sehemu kubwa ya mashairi yake ya verse ya kwanza ni mitusi tupu!!
Usiharibu lugha za watu.Oreraa bakuru vani oreraa ngambee aisee hii kitu inapenyaaa chaa! Mond we dogoo unapandisha preshaa na salome wako.
Nyuma imeshapita ndugu yangu na haitakuja kutokea ikarudi tena! Hao wenyewe walioshi huko nyuma hawataki kurudi nyuma ndo waje kurudi akina Diamond ambao hata nyuma yenyewe hawaijui inafananaje!Watoto wa siku hizi ni welevu tofauti na sisi miaka 20 iliyopita. Nadhani mziki pendwa wa aina hii hauna tija kwa jamii. Lazima turudi nyuma na kujitathmin.
Mugambile,Usiharibu lugha za watu.
Ni 'hulila bakulu bange, hulila ngambe'
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Usiharibu lugha za watu.
Ni 'hulila bakulu bange, hulila ngambe'
Men lie women lie but numbers do not lieNamba hazidanganyi.