GE2025 Salma Kikwete: Yaliyofanyika katika uongozi wako ni muujiza

GE2025 Salma Kikwete: Yaliyofanyika katika uongozi wako ni muujiza

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Mchinga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Salma Kikwete 'Mama Salma' amesema, maendeleo makubwa yaliyofikiwa jimboni humo chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, ni kama muujiza kwani kwa muda mfupi tu amegusa nyanja mbalimbali.

Amesema hayo leo Septemba 25 jimboni Mchinga mkoani Lindi kwenye mkutano wa kampeni ya Mwenyekiti wa CCM na mgombea urais, Dk. Samia, alipofika kuinadi Ilani ya CCM na kuomba kura kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29.
 
Ndugu mleta mada heading ilitakiwa iwe hivi;

NYUMBA KUBWA NA NYUMBA NDOGO WAMEKUTANA KWENYE KAMPENI ZA CCM HUKO JIMBONI MCHINGA.
 
Ila huyu mama hana hata chembe ya Aibu? Haoni wenzake wako buzzy kulea wajukuu.

Yeye kutwaa kuranda kutafuta madaraka na posho, hatosheki kabisa, Lol
 
Moja ya watu wanaonipa ukakasi hata kuwaskiliza ni pamoja na huyu mama.
 
Dawa yake alikuwa mgombea wa ACT 2020 mtoto mwema....ninavyojua kule nchinga hakubaliki kabisa......nimetembea milola,lutamba hapo ndio hawataki hatakumsikia....sujui mtoto mwema kama anagombea kule au kapima kaona atashinda lakini yatakuwa kama ya 2020 kaogopa hasara.
 
MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Mchinga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Salma Kikwete 'Mama Salma' amesema, maendeleo makubwa yaliyofikiwa jimboni humo chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, ni kama muujiza kwani kwa muda mfupi tu amegusa nyanja mbalimbali.

Amesema hayo leo Septemba 25 jimboni Mchinga mkoani Lindi kwenye mkutano wa kampeni ya Mwenyekiti wa CCM na mgombea urais, Dk. Samia, alipofika kuinadi Ilani ya CCM na kuomba kura kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29.
Uongo au uongozi wa mumeo anayetawala kwa remote control? Mtasifia hadi mkufuru awe kama Jiwe. Nyie endeleeni tu mtajua hamjui
 
Back
Top Bottom