Ana hisa kwenye shule ya waturuki dar es salaaam, kwanini wao wageni wasimiliki wenyewe hizo shule
Kuna sheria yoyote inayomkataza kuwa na hisa ktk taasisi yoyote?.
Hofu ya watanzania ni kwamba kutakuwa na undue influence ya first lady katika kupata kibali cha kujenga hiyo shule kitu ambacho sio sawa. Nadhani umenielewa sasa. Kama unavyojua kwa sasa firstlady/firstboy wote wanahadhi sawa na rais wetu na ndio maana wakisema wanataka kiwanja fulani hatakama sheria hairuhusu watapewa tu! si umesikia yaliyotokea Mwanza ya riz1 na Dodoma ya S.K Foundation haya yote ni ukiukwaji ya sheria kwa jina la rais.
Du kama hili lina ukweli naanza kupata majibu ya maswali niliyokuwa najiuliza nilipomuona mume wake kwenye mahafali ya Feza Secondary.Ana hisa kwenye shule ya waturuki dar es salaaam, kwanini wao wageni wasimiliki wenyewe hizo shule
Huyu ni wivuy sasa,Ana hisa kwenye shule ya waturuki dar es salaaam, kwanini wao wageni wasimiliki wenyewe hizo shule
Ni vema kuwa na wasi wasi huo na kuufanyia kazi ili kuthibitisha hisia. lakini kuanza kutuhumu watu bila ya kuwa na ushahidi, si jambo zuriKigogo au ndugu ya kigogo anapomiliki hisa kwenye kampuni au shirika hasa kwa nchi yetu ni mazingira yanaandaliwa ya au kukwepa kodi au kukwepa taratibu zingine!!!! wake up!!
Ana hisa kwenye shule ya waturuki dar es salaaam, kwanini wao wageni wasimiliki wenyewe hizo shule
watu wengine ni aibu kuwepo JF
Hisa kwenye shule unafikiri kitu kubwa sana ...
Shule kila mtu anaweza kujenga acha umbea..
watu wangapi wanamiliki ardhi kitapeli, hao nao ni wake na watoto wa raisi!.