Salima Mwanayumba wangu

Salima Mwanayumba wangu

Taswira

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2012
Posts
1,198
Reaction score
452
Wanajanvi usingizi umekata mke wangu amelala ghafra kumbukumbu za mchumba wangu wa zamani zinanirudia
Salima ndio salima alikua mpole asie na makuu msikivu hakuwahi kua na kiburi mwepesi kusamehe hakuwahi kunikosea katika miaka sita niliokaa nae
Nilipomaliza digree yangu nilipangiwa kazi mtwara yy nikamwacha bukoba

Sijui nini kilitokea umbali ni tatizo nikapata mchumba ambaye niliamua kufunga nae ndoa kijijini
Nakumbuka ulivyoumia na kugoma kutoka njee wiki nzima ya maandalizi ya ndoa yangu
Nilikufwata kukuomba msmaha siku moja baada ya ndoa uligoma kuongea na mimi kutokwa na machozi
Mpaka naandika hapa sijapata kukuona tena salima
Mara nyingi mke wangu akiniuzi au kunijibu vibaya nakumbuka upole wako
Na unyenyekevu wako
Hukunikosea, hukuniudhi, hukunisaliti., hukuwahi kunidharau.,
MUNGU AKUJALIE POPOTE ULIPO MARA YA MWISHO NILISKIA UPO NJOMBE
Kama kuna mwana MMU wa njombe ukimwona salima Mwanayumba wangu msalimu
Ni chotara ana macho ka ya bundi au Alves wa Bacelona So cute!!!!!!!
 
Mungu saidia vijana.jaman tamaa mbaya....kosea njia ila sio salima..

Nawasilisha
 
Mmmm,yani mie nikifikia hapo kwa wanaume nachoka nafsi yangu,Hajakukosea,hakujibu jeuri,mwepesi wakusemehe yote hayo hukuyaona mwanzo unakumbuka shuka kushakucha!!
 
Jamani mnajadili user name mnasahau mada
 
macho ya bundi.
200352257-001.jpg
 
Mbona ulimuacha kwa nini ...sema hio username sijui ipo vipi tena.
 
Nimejikuta namhurumia mkeo buree...!!! Najaribu kupata picha siku umekutana na Salima tena, nafasi ya mkeo sijui itakuwa wapi???
 
Back
Top Bottom