Salima Mwanayumba wangu

Salima Mwanayumba wangu

Wanajanvi usingizi umekata mke wangu amelala ghafra kumbukumbu za mchumba wangu wa zamani zinanirudia
Salima ndio salima alikua mpole asie na makuu msikivu hakuwahi kua na kiburi mwepesi kusamehe hakuwahi kunikosea katika miaka sita niliokaa nae
Nilipomaliza digree yangu nilipangiwa kazi mtwara yy nikamwacha bukoba

Sijui nini kilitokea umbali ni tatizo nikapata mchumba ambaye niliamua kufunga nae ndoa kijijini
Nakumbuka ulivyoumia na kugoma kutoka njee wiki nzima ya maandalizi ya ndoa yangu
Nilikufwata kukuomba msmaha siku moja baada ya ndoa uligoma kuongea na mimi kutokwa na machozi
Mpaka naandika hapa sijapata kukuona tena salima
Mara nyingi mke wangu akiniuzi au kunijibu vibaya nakumbuka upole wako
Na unyenyekevu wako
Hukunikosea, hukuniudhi, hukunisaliti., hukuwahi kunidharau.,
MUNGU AKUJALIE POPOTE ULIPO MARA YA MWISHO NILISKIA UPO NJOMBE
Kama kuna mwana MMU wa njombe ukimwona salima Mwanayumba wangu msalimu
Ni chotara ana macho ka ya bundi au Alves wa Bacelona So cute!!!!!!!

Siku nyingine mkeo akinuna shuka hii mistari kutoks OTTU JB aka msondo ngoma
'Asha mwanasefu, niambie mpenzi wangu, imekuwaje leo mama uko kimya hivyo. Ni jambo gani limekuudhi nieleze leo. Sema asha sema, sema mpenzi wangu, kama mimi nimekuudhi unielezee leo'
Halafu leta feedback
 
Pedi Pole sana. Sasa hivi Salima wako atakuwa na jamaa mwingine anakula maisha katika mwanga bora!
 
Last edited by a moderator:
Uliruka majivu eeee!!!
Halafu unasingizia umbali,ukipata transfer tena wife akabaki anafatilia uhamisho wa watoto akifika makaio mapya atakuta umeshaoa mke mwingine
 
[ QUOTE=Ndibalema;8376548]macho ya bundi.
200352257-001.jpg
[/QUOTE]

Sio bundi huyu.......tafuta mwingine.......
 
Back
Top Bottom