Salim Kikeke arudishwe nyumbani

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,827
9,535
Kisha apewe kuongoza TBC naona dalili za Dkt Ryoba kupwaya pale kama JPM alivomwuliza ikulu siku 'we unajitathmini vp' ....TBC 1 imepoteza mvuto kwa kipindi kirefu sasa,naamini huyu kijana Kikeke ataleta mabadiliko kwani si kaelimu anako kidogo. Au kama vipi mrudisheni Tido. hashtag [HASHTAG]#bringbackourtbc[/HASHTAG]
 
Unataka tumsahau au? Acha kumuombea mabaya mwenzio
 
Kikeke ukipewa hiyo fursa usikubali muulize Tido alivyopotezwa
 
Sidhani hata kama akipewa hiyo fursa atafanya lolote la maana.Tido mhando alipokuwa BBC alikuwa mahiri kuliko Kikeke.Hata alipoletwa TBC nilimwona kama anafanya vizuri lakini akatolewa.Nadhani hali ilivyo TBC kwa sasa ndio inawafurahisha wenye mamlaka.
 
Mbona bado namwona bbc
 
Kashindwa aliyekuwa mkurugenzi bbc ataweza yeye wenzio wako katika hayua za mwisho kuitangaza mawingu ndio ya taifa rasmi
 
Kikeke ana uraia wa kudumu kwa Malkia! Usitengemee kama atarudi kufanya kazi bongo hata akiteuliwa kuwa RC mpya wa Arusha usitengemee kama atarudi bongo!

wakati anatafuta ajira bongo alizunguka sana
 
Sikuungi mkono, akija watampotezea muda sawa na Tido Mhando
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…