Salim Kikeke anapitia Spana kwenye mtandao wa X

Dalton elijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
780
Reaction score
1,831
Baada Ya Kutia Nia Salim Kikeke Ameanza Kupitia Spana Kwenye Mtandao Wa Twitter.
Kwenye Moja Kati ya Chapisho Lake Ameandika Kuwa ........................
Sometimes change has to be fought from within. Albert Einstein once said “Doing the same thing over and over again and expecting different results is INSANITY”
Also, don’t always apply the ‘one size fits all’ approach. And, most importantly - don’t freakin’ judge anyone. 😎
Baaada Ya Chapisho Amepitia Spana Kadha Wa Kadha Licha Ya Kujitahidi Kujibu Lakini Hali Inaonesha Amepoteza Credibility Yake Na Trust Ambayo Ameijenga Kwa Watanzania Kama Mtangazaji Nguli......

Moja Ya Comment Ni Kutoka Kwa God bless Lema Ikitanabahisha Kuwa "

Being a Chawa Won’t Change Anything

Real change doesn’t come from fear or flattery. It comes from truth, courage, and standing up for what is right. Many people think that staying close to power no matter what is a smart move. But history tells a different story.
Being a chawa (a bootlicker) may give you short term comfort, but it kills your voice and your values. You end up protecting a broken system instead of fixing it. You become part of the problem.

Change has never come from silence or blind loyalty. It comes when people choose to speak up, even when it’s hard. So instead of clapping for everything, ask hard questions. Instead of fearing power, hold it accountable.
Because if we keep doing the same thing and expect different results, as Einstein said—that’s insanity.
Hiyo Ni Comment Kutoka Kwa Godless Lema Na Inayofuatia Ni Comment Ambayo imetolewa Na Shaabiki ikisema Kuwa "
Hata ile program mlokua mhojiane na Heche ni wazi usingeweza kuvumilia spana maana angekuchoma sana maini. Ni wazi ungekua BIASED ndo maana mlimtumia tu kama chambo ya kupata audience na baadae kummwaga kisa kesi ambayo kiuhalisia hakua anahusika kwenye zuio. CHAWA MPYA TOWN
Comment Nyingine ni kama Ifutavyo..............
THE LUIS FIGO WA BONGO 💔
Watu kukuwaza haimaanishi labda wewe ni masihi hapana Imani ya watu wengi ilikuwa kwako ghafla ukasaliti jamii Yako ambayo ilikuwa na Kila aina ya mtu kutoka pande zote za vyama ila now haupo kama Nuru ya watu nitakataa kusema labda ni njaa iliyo kupelek
 
Tanzania ni nchi huru katika kila sekta watu wana uhuru,wa kuchagua na kuchaguliwa,popote pale ndani ya tanzania alimradi pale utakapojiona unakubalika na una rekodi nzuri za uchapaji kazi...(Twendeni tugombee kokote kule lakini mwishowe )
 
Kiukweli wote wamemchana hasaa! Ila God bless Lema ni hatari ana maarifa makubwa sana. Mtu wa aina yake huwezi kumkuta CCM. Ukiingia CCM tu unakuwa mbumbumbu kama hujawahi kupita shule.
 
Write your reply...chadema wasenge mnagombana kila mtu .kwani kosa la kikeke ni kutumia haki yake kikatiba kufua chama anachotaka
Waandishi wa habari ni watu waliotakiwa kuwa neutral ktk taaluma zao. Kumbe muda wote huo alikuw na kadi ya chama. Je! Angeweza kufanya kazi bila kuegemea upande mmoja??

Ni sawa tunavyoona viongoz wastafu wakubwa wa vyombo vya kusimamia na kutoa haki, viongoz wa polisi, tume ya uchaguzi akitia nia. Ina maana muda wote huo alikuw na kadi❓🤣.
 
Njaa haina baunsa Tanzania is poor country na Kazi pekee utapata hela za bure ni siasa .
 
Kuitwa Mheshimiwa ndiko anako kimbila the former BBC News Anchor. Baada ya uchaguzi ataingia London na Diplomatic Passport akiwa kwenye kamati ya mawasiliano na tekinolojia.
 
Kuitwa Mheshimiwa ndiko anako kimbila the former BBC News Anchor. Baada ya uchaguzi ataingia London na Diplomatic Passport akiwa kwenye kamati ya mawasiliano na tekinolojia.
Kwanini anagombea uchagani na sio kwao au unakoishi?
 
Kuitwa Mheshimiwa ndiko anako kimbila the former BBC News Anchor. Baada ya uchaguzi ataingia London na Diplomatic Passport akiwa kwenye kamati ya mawasiliano na tekinolojia.
Anakimbilia PESA kwakuwa amewahi kusema mwenyewe kuwa hela anayoipata Tanzania ni ndogo Sana ukifananisha alivyokuwa nje

Anasema faida anayopata pekee ni kuwa yupo Nyumbani.
 
Kikeke apitishe greda kwenye barabara za mamba komakundi na kondeni,na ahaidi uboreshaji wake ni kero kubwa mno!
 
Personal interests can easily corrupt most of the people. That’s why even Musk, the richest man on earth, became one of Trump’s sycophants. Huenda Kikeke naye amekuwa victim wa maslahi yake binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…