Salim Kikeke aaga rasmi BBC

Kikekee ninamkubali sana
 
Hivi kuna mtanzania gani mwingine amebaki BBC swahili
siku hizi nafasi zetu wanachukua Wanyarwana

zamani idhaa zote za kimataifa za Kiswahili watangazaji wa Kitanzania walipewa kipaumbele sana hadi tukapata Mkuu wa idhaa ya BBC Swahili Tido Mhando

Watangazaji wetu kwny Radio zetu (ambazo ndio zilikuwa kama sehemu ya kuonesha weledi) wanaangalia wachekeshaji wenye followers wengi sio weledi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…