Sales freelancers wanahitajika haraka

Sales freelancers wanahitajika haraka

codename

Member
Joined
Feb 2, 2015
Posts
22
Reaction score
19
Mafreelancer wanahitajika ndan ya mkoa wa morogoro,kazi yako kubwa Ni kutafta solo LA bidhaa, elimu Ni kidato cha NNE na kuendelea, malipo Ni fixed amount plus commission, wale wenye experience ya sales watapewa kipaombele,wanatakiwa uwe na uelewa wa mitaa ya morogoro, Tuma barua ya maombi na CV kwenye email address freelancersmoro@gmail.com, mwsho wa kutuma maombi tarehe 5 february, vijana changamkieni fursa ( nb;sio forever living products)
 
Ni bidhaa gani? Mi nina degree lakini naweza kuifanya kwa moyo wote, ila sema bidhaa gani
 
Ni bidhaa gani? Mi nina degree lakini naweza kuifanya kwa moyo wote, ila sema bidhaa gani

Nadhani itakua ni bidhaa za kawaida tu kama Sabuni,,vipodozi,,dawa za meno na kdhalika

Hua hawasemi hadi ufike wakupige interview kaka
Kwanza si unaomna vigezo ni Elimu ya kidato cha 4 unategemea nn apo????
Hahahaha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom